Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani kwa kipindi cha miezi mitatu kuanzia Septemba hadi Novemba limeendelea na operesheni na Misako ya kuzuia na kutanzua uhalifu katika Wilaya zote. Katika Operesheni...
JINSI SERIKALI INAVYOWEZA KUDHIBITI MAANDAMANO YA D9 AMBAYO LENGO LAKE NI “KUMTOA RAIS MADARAKANI” BILA MAAFA
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
1. Kwa vile maandamano ni haki ya kikatiba katika...
Great Thinkers,
Nimefuatilia mijadala ya Gen Z, nilichokiona na tafakari yangu ukweli ni kuwa D09 inatetea Maslahi ya majeshi yetu.
1️⃣
Kumekuwa na mjadala mkubwa kuhusu maandamano ya D09...
GTs,
Kwa mwenendo wa kesi ya ICC, wale wote waliouliwa ndugu zao au kujeruhiwa kwenye maandamano epukeni sana kwenda kwenye tume iliyoundwa na Samia.
Yaani iko hivi, mkienda mtakuwa...
Tanzania na Marekani Zaahidi Kuimarisha Ushirikiano wa Kisekta
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Samwel Shelukindo, alikutana na kufanya mazungumzo na...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ameshiriki hafla ya maadhimisho ya Miaka 108 ya Jamhuri ya Finland, iliyofanyika jijini Dar es...
Ulishajiuliza kwa nini Kenya Gen Z walikuwa wanaandamana huku wakiwa na viongozi ila serikali haikuwa inawakamata hao viongozi (wanaharakati)?. Kenya kwa sasa iko shwaaariii!
Jibu ni kwa sababu...
Mwalimu wangu wa kiswahili shule ya msingi alinifundisha neno hili linatumika mara nyingi kama unaagana pasipo majaaliwa ya kuonana Tena, mfano unaenda vitani.
Tarehe 9 Desemba nitaungana na wale...
Hivi wanajielewa kweli? mbona kama majinga hivi
Yani wanaitisha press halafu wanaongea ujinga na kutoa vitisho.
==========
Chama Cha Mabondia nchini kimeomba serikali iwaruhusu na iwape mavazi...
Kuna huyu Dada anajiita Maria sarungi , je huyu anapambania kitu gani?
Anakuambia Tutaelewana.
Mimi sipandi chochote ila yeye anapambania nini maana Field hayupo zaidi ya kuweka hashtag ya...
GTs,
Mimi siyo mtabiri ila naona kabisa wafuatao (ongezea) inabidi wapotezwe na yule aliyewatuma wafanye mauaji MO29.
Yaani iko hivi kesi ya ICC ili iwe na nguvu lazima pawe na watu watakao...
GTs
Hivi leo ninaangalia mjadala kuhusu vyombo vya ulinzi nchini na historia inanikumbusha tukio la ukatili wa kisystem uliofanywa na vyombo vya usalama vya Adolf Hitler dhidi ya Wayahudi na...
Nyerere alikataa familia moja kuwa na rundo la viongozi, Samia kavunja rekodi kwa kuweka watoto, wakwe na ndugu kwenye ngazi za juu za uongozi, kibaya zaidi inasemekana mtoto wake wa kiume ana...
Mh Rais Mstaafu Jakaya Kikwete naomba kukung'ata sikio ila pia naomba pia sio lazima chukua wazo langu mimi ni mdogo sana ila natamani kuona ccm na Taifa lina kuwa tulivu na ccm ina tawala hata...
Watu wa Tanzania wanaridhishwa na usimamizi wa uchumi wa serikali, kama inavyoonyesha utafiti wa hivi karibuni wa Afrobarometer.
Sehemu ya Watanzania wanaoangalia kwa mtazamo chanya hali ya...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe linapenda kutoa ufafanuzi juu ya taarifa zisizo sahihi zinazosambazwa na kuonekana katika baadhi ya mitandao ya kijamii zikieleza kuwa, Isakwisa Lupembe na Ally...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.