Waulize watalaka na watalikiwa watakuambia. Kwenda kwenye ndoa ni rahisi kuliko kurudi kwenye ndoa baada ya kuondoka kwenye ndoa.
Kijana wangu alipewa suspension shuleni nikaambiwa nikamchukue...
Mwenyekiti wa zamani wa TAMWA na Mhariri Mkuu wa Clouds media Joyce Shebe amebainisha namna Waandishi wa Habari na Vyombo vya Habari kwa ujumla wake vilivyopata wakati mgumu kufanya kazi Oktoba 29...
Wajua nini chakusema. Bakia palepale guy. Miye nilikuambia Siku Ile uhame pale wajua nini kingetokea kama usingehama. Leo wamekuwekea mtego hapo kwako Kesho wakunase. Au wajuemo wapi uko.
Bakia...
Wakuu
Sheikh Kishki anaeleza kuwa asilimia 90 yanayoendelea hapa nchini ni msukumo kutoka upande wa kushoto.
Alianza kwa kuwauliza swali aliokuwa nao kuwa kwa yanaoyoendelea sasa yana msukumo...
Kuna taarifa kwamba hivi sasa kupata boti ya Zanzibar imekua shida.
Watanganyika wengi inasemekana wamekimbilia kwa ndugu zao na wengine mahoteli ili kukimbia December 9.
Zanzibar inasemekana...
Naiomba serikali yangu tukufu iyaruhusu maandamano ya Amani yanayotarajiwa kufanyika Dec 09,2025 kwa sababu wawaache watu watoe dukuduku lao kwa Amani.
Naamini kama Polisi wetu wanaweza kutoa...
Waandamanaji wote tumeshakubaliana kuwa tutafanya maandamano ya Amani na hatutogusa mali wala uhai wa mtu.
HAO WANAOSEMA WATACHOMA MALI ZA WATU HATUPO NAO KABISA.
HAO NI MAMLUKI WANAOTUMWA...
Nakumbuka uchaguzi wa kwanza kabisa CCM walikuja na propaganda ya ukiwachagua wapinzani inchi itakuwa kama Rwanda na Burundi kipindi kile walikuwa wametoka kuuana sana.
Lakini mpaka leo wanaamini...
Haki na amani iwe kwenu.
Je, huu mgao wa umeme wa Tanesco ulioanza leo ni moja ya hatua ya kimedani kuelekea hofu ya maandamo D9?
Unarekebishaje miundombinu usiku?
Unakoseje nishati hii 12hrs...
Jeshi la Polisi limepiga marufuku maandamano yaliyopangwa kufanyika Desema 9, 2025, likisema kuwa yamekosa sifa za kisheria za kuyaruhusu kufanyika, ikiwemo kulenga uvunjifu wa amani.
Aidha...
1. Huduma za kiafya Zanzibar ni bure for as long as unakitambulisho cha mkazi wa Zanzibar. Matibabu na dawa za Figo, Kansa na magonjwa yote ni bure. Gharama yako ni nauli ya kufika Hospital. Kwa...
Huyu Mzee alikuwa na jeuri, majivuno na kiburi Cha kufa mtu.
Kama kawaida Mungu si Abdul Wala Mchengerwa,tarehe 29 October, Gen Z wa bunda walipiga kiberiti nyumba ya Mzee wasira.
Kwa aibu...
Wakati Jeshi la Polisi na Kamati za Ulinzi na Usalama katika Mkoa wa Dar es Salaam wakiwahakikishia wakazi wa Jiji hilo kuwa ulinzi umeimarishwa na kwamba maandamano yanayotajwa mitandaoni...
Viongozi wa dini na dunia ilisema serikali iachie miili ya watu ilio wauwa serikali ikajibu hatufuati maagizo ya viongozi wa dini wala nchi za nje.
Wananchi pia wamesema sana wanataka wapendwa...
Mpo salama!
1. Kesho ni Siku ya kwenda kuabudu kwa madhehebu mengi ya Kikristo yakiongozwa na Kanisa Catholic na KKKT.
2. Kwa hapa Tanzania Kanisa Catholic ndio kanisa Kubwa lenye waumini wengi...
"Vyombo vyetu vya usalama kama ilivyo leo, ilivyokuwa jana, ndivyo itakavyokuwa tarehe 9 na siku zinazofuata. Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama wakati wote viko tayari kuhakikisha watu wako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.