Wanaukumbi.
Wanaharakati na mamluki wa mabeberu wanashabikia watu watoke majumbani kwao wakaandamane kwa kuwa kukaa ndani watauwawa!
Wanakwenda mbali zaidi na kusema waliouwawa kwenye vurugu za...
===============================================
CHALAMILA STOP THAT!? NASISI HATUTABAKI KIMYA TENA INATOSHA SASA...
Mkumbusheni Albert Chalamila yeye ni mmoja wa wahalifu waliochochea vyombo vya...
Hii sio vita ya vijana peke yao, tarehe 29 waliopitia mateso zaidi ni nyie kina Mama ambao uhai na ndoto za watoto wenu ulikwapuliwa kwa ukatili mkubwa sana. Ukatili huu ukiongozwa na mwanamke...
Siyo kawaida yao, safari hii hatusikii cha nywinywi wala nywinywinywi. kila mtu anaagiza kukwepa responsibility. Samia kaogopa hata kujitokeza kwenye TV kulihutubia taifa anatuma tu watu wamsemee...
GENEVA - Disemba 05, 2025
Serikali ya Tanzania imehimizwa kudumisha uhuru wa kimsingi kabla ya maandamano yaliyopangwa ya Siku ya Uhuru tarehe 9 Disemba.
Msemaji wa Kamishna Mkuu wa Umoja wa...
Katika hali halisi ya maisha hatuwezi watu wote kualingana namna tunavyoendesha maisha yetu. Vivyo hivyo hata mataifa hayawezi kufanana kiuchumi. Vigezo vya upimaji wa uchumi si tu namna...
CCM kubalini uwezo wenu wa kuongoza taifa umefikia mwisho, umegota na kila lenye mwanzo halikosi mwisho.
Ili kukinusuru chama kwa muongo mwingine ujao mshaurini Samia ajiuzulu, iandikwe katiba...
Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania Andy Lentz amekutana na Padre Charles Kitima wakati akiendelea kupona kutokana na shambulio la kikatili dhidi yake lililotokea mwezi uliopita.Katika...
Mwanasiasa Peter Daffi amesema maandamano yasiyo na kibali hayawezi kuruhusiwa na serikali, akisisitiza kuwa hatua hiyo inaweza kuifanya dunia kushangaa kwa nini Watanzania wanashindwa kukaa...
Mtavunjiwa heshima bure kwa ajili ya uroho wa kula na kunya!
1. Utekaji
2. Uuaji
3. Ufisadi
4. Kuiba uchaguzi
5. etc
hivi havimvunjii mwalimu heshima.
Bure kabisa mabichwa mazee makubwa hamna kitu
Kaburi la CCM linasema tarehe ya kuzaliwa ni 05/02/1977 na tarehe ya kifo ni 29/10/2025.
Leo 08/12/2025 ilikuwa 40 ya kuadhimisha kifo cha CCM.
CCM imeishia kule kule vyama vingine vya aina yake...
Kwangu Mimi kuandamana siyo jambo kubwa na la hatari kuliko watu kutekwa na kuuawa na watu wasiojulikana.
Sielewi ni kwa nini wakati watu wanatekwa na kuuawa hakukuwa na harakati kama hizi za...
Nimekuwa nikimfatilia huyu bwana Chalamila mwenye kichwa kinachofanana na senene wa Bukoba akijinadi hadharani na kutuaminisha kuwa ni mwema na hahusiki juu ya mauaji ya maelfu ya watanganyika...
BWANA akamwambia Musa, Ingia wewe kwa Farao; kwa kuwa mimi nimeufanya moyo wake mzito, nipate kuzionyesha ishara zangu hizi kati yao.
Kashauriwa karibu na kila mtu, wape watu wako Haki...
GT
Labda mimi siyo mfuatiliaji.
1. Hivi hawa hawana mambo mengine yakuongea
2. Unaita press kusema kwamba unaunga mkono hotuba?
3. Huu ni uchawa na ukilaza uliopitiliza sijawahi kuona
4...
Kwa kufuatilia madai ya waandamanaji baadhi yamatakwa hayawezi kutimizwa Kama vile suala la kuonba serikali ya mseto au kurudiwa uchaguzi.Swali najiuliza Kama hayatimizwi mwisho wake ni upi? Je...
Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam walimiminika katika supermarket kubwa siku ya Jumapili, wengi wakiharakisha kununua mahitaji ya msingi kuelekea tarehe 9 Desemba, hali iliyosababisha misururu...
Wakuu,
Kila siku nasema humu, China is an evil empire
Nimetoka kuona hapa kuna mataifa 17 ya kimagharibi yametoa tamko kupinga yanayoendelea nchini
Shout out kwa Umoja wa Ulaya, Uingereza...