Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

Sheria inasemaje kama mgonjwa amechati na muuzaji za dawa za asili (hawa wa jamii ya forever living, lakini sio forever living) lakini huyo muuzaji wa dawa akawa anaweka zile charting katika...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Tuanze kwa kubadili lugha kwanza, iko hivi; Lawyer ni mwanasheria, Advocate ni wakili. Tuanzie hapa sasa: Kila Wakili ni Mwanasheria, ila sio kila Mwanasheria ni Wakili Kimsingi, mtu yeyote...
2 Reactions
29 Replies
11K Views
Samahani wakuu na poleni kwa majukumu mliyopewa na mkuu wa nchi ya kujitahidi kujifukiza ili kumuondoa huyo jamaa COVID-19 Moja kwa moja niende kwenye swali langu ambalo nahitaji nikipata majibu...
0 Reactions
1 Replies
969 Views
MAANA YA DHANA YA NDOA. Ni ile hali ya mwanaume na mwanamke kuishi pamoja na kushea kila kitu pamoja huku wakiwa au kupewa hadhi ya mume na mke katika jamii, ambao wameiishi pamoja kwa miaka...
0 Reactions
0 Replies
840 Views
Wakuu kwema? Wajuzi wa sheria naombeni msaada wenu juu ya hili swala la kupunguzwa kazini. Naomba msaada, kisheria hivi inapotokea kupunguzwa kazini wafakazi kwa kupewa likizo ya bila malipo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wadau, Naomba wataalamu wa sheria mnisaidie nina dukuduku la kufahamu katiba za nchi mbili hizo kwani nilisikia vingi mfano eti UK katiba haijaandikwa nilishangaa mno. karibuni wadau...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Ni sahihi kupitisha nyaya za umeme juu ya nyumba bila ridhaa ya Mwenye Nyumba? Na Kama ikitokea nyaya zimepita kwenye uwanja wa mtu na baadae akataka kujenga nyumba sehemu hiyo atafanyaje? Naomba...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Matumizi ya nembo ya Taifa. Je, inafaa kutumiwa na mtanzania yeyote? Mara nyingi nimewahi kusikia kesi za matumizi mabaya ya nembo! Je, kuna matumizi mazuri kwa raia wa kawaida? Mbali na kuziweka...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari wadau, Ni mwaka sasa tangu mzee wangu anunue ardhi kutoka kwa mzee mmoja ambaye alikuwa jirani yetu. Mara tu baada ya kukamilisha hatua zote za manunuzi na nyaraka zote kusainiwa kila kitu...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Natanguliza salamu, Nimezaa mtoto sasa ana miaka 5, huyu bibie hakunambia kama ameolewa, kumbe ni Bi mdogo wa jamaa ambaye wamefunga ndoa ya kiislamu. Yaani ni mke wa pili. Ni story ndefu kidogo...
0 Reactions
66 Replies
11K Views
Habarini za mchana wakuu, Kama nilivyoandika hapo juu naitaji msaada wa kisheria kuhusu hili bus. Nina ndugu yangu ni mgonjwa kuna dawa huwa anatumia inamsaidia, hii dawa sehemu nilipo kuipata ni...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari za Siku ndugu, Mimi ni miongoni mwa tuliofungua kesi ya kudai kampuni,tuko watu 8,kesi imeishahukumiwa tulipwe na zaid ya miez 6 imepita na hatujalipwa,ila mwanasheria wetu kaandaa KUKAZIA...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Tulikua tunacheza mchezo wa kupeana hela (upatu) wa 500k kila mwezi ila baada ya mizunguko kadhaa kuisha kuna ikafika zamu yangu kupokea ila katika washiri, mshiriki mmoja akaomba atanipa mwezi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kodi yangu imeisha na sina pesa ya kulipa na mwenye nyumba anataka nitoe vitu bila hata subira nimekimbia nimeacha vitu. Nitavifuata nikipata sehemu nyingine. kisheria imekaaje hii? Sent using...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Viongozi wa Chadema wamesha hukumiwa, Siku hiyo hiyo tulimpoteza Akwilina kwa kupigwa risasi katika mazingira ya kutatanisha. NATAFUTA wakili ili kuisimamia familia ya Akwilina katika kuishtaki...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari. Kuna hakimu wa Mahakama ya Mwanzo alitoa hukuma ambayo haipo straight sio clearly hata darasa la saba awwzi kuandika hivyo. Ten hakimu wa Dar. Baada ya kufanya appeal RM wa district...
0 Reactions
1 Replies
624 Views
The legal fraternity has lost five of it's very own in 24 hours Augustino Ramadhani CJ RTD Ali Haji Pandu CJ Zanzibar RTD Alhaji Musa Kwikima AG J RTD Evod Herman Mmanda Gaudiosius Ishengoma...
7 Reactions
28 Replies
3K Views
Habari wana JF, Naomba msaada wa kisheria kuhusu dhamana. Kuna mtu kakamatwa kwa kosa la kufanya mapenzi na mwanafunzi. Katika mashariti ya dhamana ni kwamba anatakiwa awe na wadhamini wawili...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wazoefu wa sheria njoni mnisaidie tafsiri, mfano mtu amekopa akabakisha rejesho 2 akaacha kulipa, mwisho wa siku walio mkopesha wakaamua kumpeleka mahakamani, alivyo somewa mashtaka tu akakana...
0 Reactions
23 Replies
7K Views
Habari za majukumu wakuu, natumai tunaendelea kuchukua tahadhari zote ili kujikinga na janga hili la corona. Ningependa kuelewa sheria inaweza kufanyaje kazi katika jambo hili lililoweza...
0 Reactions
4 Replies
957 Views
Back
Top Bottom