Nilisikia kuwa katiba ya UK haijaandikwa. Je, wananchi wanaifuata vipi? Je, na USA katiba yao ikoje?

deo paul555

JF-Expert Member
Oct 22, 2018
1,405
520
Habari wadau,

Naomba wataalamu wa sheria mnisaidie nina dukuduku la kufahamu katiba za nchi mbili hizo kwani nilisikia vingi mfano eti UK katiba haijaandikwa nilishangaa mno.

karibuni wadau

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsante,kwahiyo ya uk ikoje haswa, nilisikia maneno hayo yakitamkwa kua haijaandikwa nisaidie hilo

Sent using Jamii Forums mobile app
Unwritten constitution ni katiba ambayo haipo kwenye walaka mmoja kama ilivyo katiba ya Tanzania na nchi nyingine nyingi ambazo muongozo wa nchi upo kwenye booklet moja.

Hivyo kwenye katiba isiyoandikwa kuna kuwa na documents mbalimbali zenye kuelezea utaratibu wa kuendesha nchi husika.

Seek respect, not attention. It lasts longer
 
Katiba huwa zipo za aina 2:
Written Constitution na Un written Constitution
Written constitution ni kama hii yetu ya 1977 yenye major ammendments to date
Unwritten ni aina ya Katiba ambayo haipo kwenye single document kama yetu.

Ila ibara na vipengele vyake vipo kwenye sheria tofauti tofauti za Nchi na huwa mainly kwenye zile Principle Legislation, na ki sheria ibara na kanuni hizi huheshimika kama ilivyo Katiba,e.g
Haki za binadamu utazikuta kwenye specific law ya hiyo Nchi na inaheshimika kama ilivyo Katiba iliyoandikwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unwritten constitution ni katiba ambayo haipo kwenye walaka mmoja kama ilivyo katiba ya Tanzania na nchi nyingine nyingi ambazo muongozo wa nchi upo kwenye booklet moja.

Hivyo kwenye katiba isiyoandikwa kuna kuwa na documents mbalimbali zenye kuelezea utaratibu wa kuendesha nchi husika.

Hizo documents zilizotapakanya sehemu mbali mbali zinasema kwamba zenyewe ni Katiba?
 
Back
Top Bottom