MSUKUMA02
Senior Member
- Dec 12, 2011
- 179
- 242
Samahani wakuu na poleni kwa majukumu mliyopewa na mkuu wa nchi ya kujitahidi kujifukiza ili kumuondoa huyo jamaa COVID-19
Moja kwa moja niende kwenye swali langu ambalo nahitaji nikipata majibu hapa nitayafanyia kazi hasa baada ya janga hili la Corona likiisha
Mimi ni Mtanzania wa asili kabisa na nimezaliwa mkoa wenye kabila ambalo ndiyo kwa sasa tunaiongoza Tanzania na najivunia kuwa mmoja wa hilo kabila pendwa kuwahi kutokea duniani toka iumbwe
Hivi wakuu na wajuvi wa sheria naweza kuukana uraia wa Tanzania na kuukubali uraia wa nchi ya Donald Trump ikiwezekana nikaishi huko maisha yangu yote na nitazikwa huko? Maana naona nchi hii kidogo imenishinda.
Sent using Jamii Forums mobile app