Naomba ufafanuzi katika hili

Magoya2000

Senior Member
May 7, 2017
162
250
Habari. Kuna hakimu wa Mahakama ya Mwanzo alitoa hukuma ambayo haipo straight sio clearly hata darasa la saba awwzi kuandika hivyo. Ten hakimu wa Dar.

Baada ya kufanya appeal RM wa district court akatoa suo motto.ruling ikasema kesi irudiwe. Je sharia in Aarhus kumshitaki hiyo hakimu maana ndo michezo yao wakila rushwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Doppelganger

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
1,764
2,000
Habari. Kuna hakimu wa Mahakama ya Mwanzo alitoa hukuma ambayo haipo straight sio clearly hata darasa la saba awwzi kuandika hivyo. Ten hakimu wa Dar.

Baada ya kufanya appeal RM wa district court akatoa suo motto.ruling ikasema kesi irudiwe. Je sharia in Aarhus kumshitaki hiyo hakimu maana ndo michezo yao wakila rushwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
1. Tekeleza kama ulivyoamriwa.

2. Huwezi kumshtaki hakimu kwa utendaji wa majukumu yake. Isipokuwa kama unalalamika unaweza kuyawasilisha dhidi ya hakimu huyo kwa Hakimu/Jaji inchaji wa eneo/Mahama husika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom