Natafuta wakili ili kuisimamia familia ya Akwilina katika kuishtaki Serikali kwa mauaji

viking

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
1,698
2,000
Viongozi wa Chadema wamesha hukumiwa, Siku hiyo hiyo tulimpoteza Akwilina kwa kupigwa risasi katika mazingira ya kutatanisha. NATAFUTA wakili ili kuisimamia familia ya Akwilina katika kuishtaki Serikali kwa mauaji.
 
JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
18,634
2,000
..Nakushauri umtafute Advocate.Eric Ng'maryo.

Law firm of Eric S. Ng’maryo Advocates

..huyu mzee ali-graduate with 1st class pale UDSM sawa na Prof.Kabudi.

..pia Eric Ng'maryo ana historia ya kusimamia kesi ya madai iliyofunguliwa na familia ya Lt.Gen.Imran Kombe " kamanda mbogo " ambaye aliuawa kimakosa na jeshi la polisi wakati wa utawala wa Mzee Mkapa.

..Familia ya Imran Kombe ilishinda kesi na mahakama iliamua walipwe na serikali.

NB:

..Imran Kombe aliwahi kuwa Mnadhimu Mkuu wa Jwtz wakati wa utawala wa Mwalimu Nyerere, na Mkuu wa Usalama wa taifa wakati wa Mzee Mwinyi na Mzee Mkapa. Pia alikuwa ni mmoja wa makamanda waandamizi wakati wa vita vya Uganda.
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
140,635
2,000
Labda kampuni toka nje na mashkata yafunguliwe mahakama ya Afrika...
Viongozi wa chadema wamesha hukumiwa , Siku hiyo hiyo tulimpoteza AKWILINA kwa kupigwa risasi katika mazingira ya kutatanisha . NATAFUTA wakili ili kuisimamia familia ya AKWILINA katika kuishtaki serikali kwa mauaji
Jr
 
kipara kipya

JF-Expert Member
May 2, 2016
7,834
2,000
Viongozi wa chadema wamesha hukumiwa , Siku hiyo hiyo tulimpoteza AKWILINA kwa kupigwa risasi katika mazingira ya kutatanisha . NATAFUTA wakili ili kuisimamia familia ya AKWILINA katika kuishtaki serikali kwa mauaji
Kamchukue kibatala au Lissu buree hawataki malipo!
 
permanides

JF-Expert Member
May 18, 2013
4,015
2,000
Tofauti na kesi ya Kombe ambayo wauwaji walikuwa wanajulikana hii ya Akwilina ni tofauti, kwa upelelezi wa serikali wauwaji hawafahamiki, hivyo hata kujua umshtaki nani bado ni pagumu.Labda ingeanzia na private investigation kwanza.

Kwa kujazia tu ni kwamba, wauwaji wa Kombe walikuja kusamehewa kipindi cha JK

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mr Big

JF-Expert Member
Sep 16, 2019
478
1,000

Wauaji wanafahamika mkuu,sema serikali imelinda huyo askar,😭
So sad sana,,
Yaan mtu muuaji ameua harafu analindwa wakat wangetumia tu hali ya kawaida.
 
JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
18,634
2,000
Tofauti na kesi ya Kombe ambayo wauwaji walikuwa wanajulikana hii ya Akwilina ni tofauti, kwa upelelezi wa serikali wauwaji hawafahamiki, hivyo hata kujua umshtaki nani bado ni pagumu.Labda ingeanzia na private investigation kwanza.

Kwa kujazia tu ni kwamba, wauwaji wa Kombe walikuja kusamehewa kipindi cha JK

Sent using Jamii Forums mobile app
..kweli kabisa.

..na katika hili nadhani imefanyika HILA ili wauwaji wasijulikane.

..hizi juhudi za DPP na Polisi kuwapakazia wapinzani kuwa ndiyo wanaohusika siyo bure.
 
Ngwango

JF-Expert Member
Nov 26, 2017
328
500
Tofauti na kesi ya Kombe ambayo wauwaji walikuwa wanajulikana hii ya Akwilina ni tofauti, kwa upelelezi wa serikali wauwaji hawafahamiki, hivyo hata kujua umshtaki nani bado ni pagumu.Labda ingeanzia na private investigation kwanza.

Kwa kujazia tu ni kwamba, wauwaji wa Kombe walikuja kusamehewa kipindi cha JK

Sent using Jamii Forums mobile app
Walisamehewa sababu it was a Govt plan to kill Kombe.
Kombe alisurrender and was not armed sababu ya kumpiga risasi nyingi ulikuwa nini, Gari walikuwa wakikimbiza purporting was H.J. Laddua was already before their eyes...about 15 mts, was there any obstacle for the arrest?.

Wapumbavu wote watano walikuwa juu ya 110 wangeweza kufanya mistaken identity between a car thief and a potential diginitary as per his listed Profiles?

....Commandant....Intelligence Chief, MD Kombe Roses the allegation mistaken identinty is just stupid.

White the car thief can never be compared with the Deceased in any way!
..age wise,completion..Volume even the appearance! walimkatisha maisha yake mazuri na familia yake..kama aquilina.

Nani anasema wauaji wa Aquillina hawajulikani? Unapokuwa lindo ukipiga risasi unaporudisha bunduki unaeleleza risasi iliyopigwa imepigwa wapi na sababu gani so the Govt knows the gun that shot down aquilina wanahamishia uswahili kwa Chadema.

Nevertheless here there were supposed to be cases ya viongoazi wa Chadema na ya wauaji kwanza it was to be preceded together one to be convicted for unlawful and distortion of peace could carry his cake home and the murderer could carry his.

Lakini kwa mambo ya kiswahili Swahili tuliozoea tumepindisha mwelekeo tukachukuwa na pesa za watu.

Do the charges bear fines?
 
Doppelganger

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
1,764
2,000
..Nakushauri umtafute Advocate.Eric Ng'maryo.

Law firm of Eric S. Ng’maryo Advocates

..huyu mzee ali-graduate with 1st class pale UDSM sawa na Prof.Kabudi.

..pia Eric Ng'maryo ana historia ya kusimamia kesi ya madai iliyofunguliwa na familia ya Lt.Gen.Imran Kombe " kamanda mbogo " ambaye aliuawa kimakosa na jeshi la polisi wakati wa utawala wa Mzee Mkapa.
...
Mahakamani ni uwanja tofauti, pale hazisimami First class au u-udsm n.k

Hizo ni hatua tu. Kuna mawakili wengi wazuri na hawana hizo 1st class.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom