Nimezaa na mke wa mtu bila kufahamu. Je, naweza kumchukua mtoto?

Ziltan

JF-Expert Member
Aug 20, 2011
1,600
2,000
Natanguliza salamu,

Nimezaa mtoto sasa ana miaka 5, huyu bibie hakunambia kama ameolewa,
kumbe ni Bi mdogo wa jamaa ambaye wamefunga ndoa ya kiislamu. Yaani ni mke wa pili.

Ni story ndefu kidogo ila kwa sasa naona mtoto ananifanana kabisa. Kifupi mama yake hanipi ushirikiano kwa kulinda ndoa yake.

Vipi kuna namna naweza mpata huyu mtoto?

Naomba muongozo mzuri, kama itawezekana sawa kama haitowezekana yote mema tu.

Kikubwa ninachohitaji mtoto aweze kunitambua kama baba yake, na nianze kuwajibika kama baba.

Asanteni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

mazojms

JF-Expert Member
Sep 22, 2017
1,283
2,000
- Kuprove kwamba mtoto ni wako pekee hakukupi wewe mamlaka ya kumchukua mtoto, umemfanya mwezako sorrogate au?. Nafikiri baba aliyelea mimba na anaemuhudumia mtoto (pia mume halali wa mama) ananguvu zaidi kuliko baba aliyeweka mimba.

- Hata kama mama angekua hajaolewa kwa umri wa mtoto sheria bado ingemfavour mama zaidi.

Wanasheria watakusaidia zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

niah

JF-Expert Member
Sep 26, 2015
6,555
2,000
asanteni kwa mawazo yenu yote ndugu zangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeambiwa kitanda hakizai haram, mtoto anamtambua baba aliyemlea tangu anazaliwa. wewe ni kama donor wa mbegu na hupaswi kuingilia wala kusogelea. Mtoto hataambiwa kitu labda wewe umfuate. Akishakuwa mkubwa atakuwa anatambua baba yake ni yule no. 2 siyo wewe.

Please leave the kid alone usimvuruge. Kazalishe kwingine kwa njia ya halali upate wako. You were just a donor of sperms not a father.
 

Wyatt Mathewson

JF-Expert Member
Dec 22, 2017
9,080
2,000
Hayo mambo ya darasani yaache huko ukija real world utamu has crumbled empires sembuse jamaa kuzalisha. Chamsingi bahariA kafanya kweli.
Kutokufata social skills ulizofundishwa ukiwa shule ndio madhara yake haya!

Wanaofuata huwezi wakuta wanaangamia sababu ya pussy!

Tutumie maarifa tuliyopewa sometimes,sio tunaendeshwa na hisia unazojua kabisa madhara yake

Na kuna njia mbadala ya kula pussy,ni kondomu,ni 3,500/= pakiti moja,hii sio socket science mzee!
 

Planett

JF-Expert Member
Mar 20, 2014
7,771
2,000
kweli kabisa mkuu
Umeambiwa kitanda hakizai haram, mtoto anamtambua baba aliyemlea tangu anazaliwa. wewe ni kama donor wa mbegu na hupaswi kuingilia wala kusogelea. Mtoto hataambiwa kitu labda wewe umfuate. Akishakuwa mkubwa atakuwa anatambua baba yake ni yule no. 2 siyo wewe. Please leave the kid alone usimvuruge. Kazalishe kwingine kwa njia ya halali upate wako. You was just a donor of sperms not a father.
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom