Naomba ushauri wa kisheria endapo mtu akitumia charting zako (majibizano mlokua mnajibizana kwa njia ya whatsup)

mwampepe

JF-Expert Member
Sep 14, 2015
279
225
Sheria inasemaje kama mgonjwa amechati na muuzaji za dawa za asili (hawa wa jamii ya forever living, lakini sio forever living) lakini huyo muuzaji wa dawa akawa anaweka zile charting katika status yake ya whatsup.Yaani yale mliyoyaongea kama siri (ulivyotiririka ugonjwa unavyokusumbua) yeye ndio anayaanika katika whatsup status zake.

Sheria ya mtandao au sheria kwa ujumla inasemaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ngalanga

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
983
1,000
Nasubiri jibu nimeona hiki kitu
Sheria inasemaje kama mgonjwa amechati na muuzaji za dawa za asili (hawa wa jamii ya forever living, lakini sio forever living) lakini huyo muuzaji wa dawa akawa anaweka zile charting katika status yake ya whatsup.Yaani yale mliyoyaongea kama siri (ulivyotiririka ugonjwa unavyokusumbua) yeye ndio anayaanika katika whatsup status zake.

Sheria ya mtandao au sheria kwa ujumla inasemaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kingsmann

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
2,477
2,000
Kama hajaexpose identity yako (kaficha namba) hamna kosa na huwezi shinda kesi.

Kama kaexpose your identity hapo ni kosa na unaweza mchukulia hatua.

All in all kiungwana alitakiwa akuombe kabla hajatumia chatting zenu kama promo.

Kama hujapenda muambie tuu hutaki atumie chatting zenu kuliko kuanza milolongo ya mambo ya sheria.
Unforgetable
 
Zamaulid

JF-Expert Member
May 25, 2009
17,800
2,000
Kama hajaexpose identity yako (kaficha namba) hamna kosa na huwezi shinda kesi.

Kama kaexpose your identity hapo ni kosa na unaweza mchukulia hatua.

All in all kiungwana alitakiwa akuombe kabla hajatumia chatting zenu kama promo.

Kama hujapenda muambie tuu hutaki atumie chatting zenu kuliko kuanza milolongo ya mambo ya sheria.
Unforgetable
Samahani Mkuu unautaalamu wa sheria?

"corona ipo tuchukue tahadhari"
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom