Naomba msaada wa Kisheria kwa mtu anayepunguzwa kazini na kupewa likizo bila malipo

Konzo Ikweta

JF-Expert Member
Oct 3, 2013
735
1,464
Wakuu kwema?

Wajuzi wa sheria naombeni msaada wenu juu ya hili swala la kupunguzwa kazini.

Naomba msaada, kisheria hivi inapotokea kupunguzwa kazini wafakazi kwa kupewa likizo ya bila malipo ndani ya miezi sita, nini upaswa kufanya? Kama muhanga uliyekutwa na sakata hilo au mwajiri wako anatakiwa kukufanya ili uende nyumbani kwa Amani.

Ahsanteni

Hasta la victoria siempre
 
Back
Top Bottom