Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

Wanajamvi hivi hii kesi status yake ikoje. Nimepoteza kummbukumbu. Ilikuwa ni kesi ya kugushi nyaraka za manunuzi ya jengo la ofisi za ubalozi wa tanzania italy.Aliyekuwa Balozi Prof Mahalu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Sikiliza mwenyewe habari hii Hivi inagharimu kiasi gani kwa waandishi wa Tanzania nao kuanza tabia ya kufuatilia mambo kwa undani kama hawa jamaa zetu..??
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Katika kuwalinda wasichana dhidi ya KUDANGANYIKA na KUHARIBU NDOTO ZA MAISHA YAO... kuna matangazo kadhaa yanatoka kwenye redio na TV kuhusu "FATAKI".Hivi ndugu zanguni, pamoja na nia njema kabisa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
hello pipo....kuna mtu anaweza kunipa mwanga hizo successes and failures of labour law in bridging the gap between an employer and an employee in Tanzania terms of rights and liabilities of both...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Jamani naomba muongozo juu ya sheria ya umiliki wa kiwanja inasemaje? Kuna kiwanja nimenunua Arusha alieniuzia ni mtoto wa mwisho katika hiyo familia ambaye baba mzazi wao alishafariki na...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wana JF naombeni msaada wenu ili sheria ifuate mkondo wake: Hapa job kwangu nina rafiki yangu amenielezea tatizo lililo mpata kaka yake ni hivi: Kaka anabinti yake ambaye anasoma form IV lakini...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Nina maswali mengi juu ya hukumu iliyotolewa na mahakama ya rufaa juu ya rufaa ya serikali kwenye kesi ya mgombea binafsi; 1.Hukumu ina defects maana hakuna mahala kulipoonyesha appeal allowed au...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Jaji Frederick Werema. Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Jaji Frederick Werema, amevitaka vyombo vya dola kuwahoji...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakubwa naomba mnisaidie mantiki ya katiba yetu kuzuia wagombea wasio ridhishwa na matokeo ya urais kupeleka kesi mahakamani ili kupata haki yao.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
habari wana jf, kuna rafiki yangu ameomba nimuulizie ili swali. 1. Yeye ameolewa kwa ndoa ya bomani mume wake ni mwiisilam, wana watoto wawili. Tangu waishi na mumewe takribani miaka mitatu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Zuhura Mmari na Grace Ndossa OFISI Ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) imewata watu wanaochapisha, kusambaza kuuza na kugawa katiba za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977 toleo la 2008...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hivi kwa nini kifungu kinachodai TZ ni nchi ya ujamaa na kujitegemea hakifutwi kwenye katiba yetu?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM SCHOOL LF LAW (FORMERLY FACULTY OF LAW) STAFF SEMINAR ON THE COURT OF APPEAL DECISION IN HON ATTORNEY GENERAL v. REVEREND...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mauaji ya kimbari ya 1994 yalidumu kwa siku 100 Padri kutoka Rwanda aliyekamatwa wiki iliyopita na...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
I am not satisfied with the way the Law School is being run. I am not saying it is being badly run but it could be improved. Why not allowing private individuals and schools to run the legal or...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimesoma mara kwa mara vitabu vya Prof Issa G. Shivji akiandika kwenye vitabu vyake mbalimbali kwamba Hati za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ziko juu ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kanuni za Sheria ya AJira na Mahusiano Kazini (ELRA, 2004) kwa tafsiri ya Kiswahili kwa wale ambao yanahitaji.
0 Reactions
2 Replies
4K Views
na Rahel Chizoza, Dodoma SERIKALI imekubali kuwepo kwa uraia wa nchi mbili kwa Watanzania walioko nje ya nchi na kwamba wasichukuliwe kama wasaliti. Kutokana na hatua hiyo, Wizara ya Mambo ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Meya wa Jiji la Mwanza, Leonard Bandiho Bihondo Kesi ya mauaji inayomkabili Meya wa Jiji la Mwanza, Leonard Bandiho Bihondo (64) pamoja na washtakiwa wenzake watatu, jana...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
wanaJF kuna mwenye copy ya Sheria ya ndoa hapa, nataka kuijua ki-undani maana kuna issues zinanitatiza sana, kama kuna yoyote anayo naomba msaada na ufafanuzi wake, najua wanasheria wa maana mko hapa.
0 Reactions
29 Replies
8K Views
Back
Top Bottom