Kesi ya ufisadi ubalozi wa itally imefikia wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kesi ya ufisadi ubalozi wa itally imefikia wapi?

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Mtazamaji, Jul 27, 2010.

 1. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #1
  Jul 27, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Wanajamvi hivi hii kesi status yake ikoje. Nimepoteza kummbukumbu.

  Ilikuwa ni kesi ya kugushi nyaraka za manunuzi ya jengo la ofisi za ubalozi wa tanzania italy.Aliyekuwa Balozi Prof Mahalu alikuwa 1ja wa washtakiwa.

  Naomba mnipe updates
   
 2. Mpogoro

  Mpogoro JF-Expert Member

  #2
  Jul 27, 2010
  Joined: Dec 7, 2008
  Messages: 361
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Case za "wakubwa" huwa haziishi....
   
 3. Aza

  Aza JF-Expert Member

  #3
  Jul 28, 2010
  Joined: Feb 23, 2010
  Messages: 1,672
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  mpogoro umeniwacha hoi...ila jamani hii nchi wacheni tu
  Mungu tu aepushe mbali balaa maana tunatusiwa hadharani na washika nchi

  tubomoe malango
   
Loading...