Wakenya waibua mchezo mchafu wa PhD fake wanazopewa wanasiana wetu..

Mwenda_Pole

JF-Expert Member
Jul 5, 2008
281
66
Sikiliza mwenyewe habari hii
Hivi inagharimu kiasi gani kwa waandishi wa Tanzania nao kuanza tabia ya kufuatilia mambo kwa undani
kama hawa jamaa zetu..??
 
Last edited by a moderator:
Now slowly but surely I'm starting to believe Darwin was RIGHT. Miafrika bana ...lol
 
Sijui ni mwenyewe au wanaojipendekeza kwake ndo wanaopenda kumuita 'Dr.'
Fanya mambo yenye tija utapewa mpaka uzichoke!!!
 
Makao makuu ya chuo yapo Tannessee, na chuo hakiko-recognized na US Department of Education.
 
Mamaa, mimi naweza kulia!
YAANI HADI RAISI WENU ANA PhD YA UVUNGUNI?
KWELI TANZANIA TUMELIWA NA TUMEPOTEZWA, HAKYAMUNGU.
 
Mamaa, mimi naweza kulia!
YAANI HADI RAISI WENU ANA PhD YA UVUNGUNI?
KWELI TANZANIA TUMELIWA NA TUMEPOTEZWA, HAKYAMUNGU.
Degree ya heshima sio ishu kivile, I would care less kama angepewa hata ishirini za dizaini hiyo lakini kutoka kwa reputable academic institution. Cha kusikitisha hapo ni kwamba ni dhahiri shahiri hiyo taasisi is a bunch of con artists tu. I almost cried kuona vibabu vya kiafrika tena viongozi who were supposed to know better, wakiwa paraded by the mzunguz kupokea degree za uzamivu only kumbe hata taasisi yenyewe haina mashiko na degree zao (hata kama ni za heshima) ni mashuzi matupu.
 
Du..... na marais (marahisi) wa kiafrika wanavyopenda ujiko wa rahisi.... wamepangwa mstari kama manamba
 
Back
Top Bottom