Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

Kuna dada tuko naye ofisini, alizaa na jamaa yapata miaka mitano iliyopita! Wakati mtoto ana miezi 4 jamaa akaoa mwanamke mwingine bila kumwambia mzazi mwenzie wa awali! Huyu dada alipata fununu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hivi karibuni nilisikia kuwa Mahakama imetoa amri ya kukamatwa Askofu, baada ya kukiuka amri ya kusitisha ku ordain Askofu wa Jimbo la Arusha. Kimsingi kesi iliyotolewa interim order hiyo ni...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hivi karibuni nimekuwa nikijiuliza maswali mengi sana na nimeshindwa kabisa kupata jibu kamili kwa matazamo wangu ulikuwa ni tofauti kabisa na ninayoyaona sasa yakitendeka. Kwanza kabisa nilidhani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni swala la aibu kubwa kwa taifa letu, wananchi wanapouwawa na matokeo yake kuitwa wahuni na majambazi. Serikali ya CCM imekuwa aibu tupu.Ijumaa , Spika wa Bunge la muungano la Tanzania Mh. Anna...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mimi ni wakili wa kujitegemea nauliza hivi hizi power alizopewa dpp ni nani anauwezo kisheria kuzitengua.kwa mantik inajulikana ni rais the point is how and under which law msaada plz
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Kuna habari ameipost JOHN Mnyika kwenye acount yake ya Facebook kuhusu serikali kuficha mgomo wa wafungwa kutokula kwa siku tatu,hapa ninatumia simu ndio maana nikashndwa kuiweka hapa,kama vipi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
ndugu zangu naomba mnifafanulie sheria hii niweze nami kujua.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
breaking news.........Mahakama ya Arusha yatoa hati ya kukamatwa kwa askofu mkuu wa Angrikana dr valentino mokiwa kutokana na kukaidi amri ya mahakama ya kutomsimika askofu
0 Reactions
2 Replies
2K Views
wana JF wenzangu. habarini. niliachishwa kazi na muajiri wangu kampuni binafsi 3yrs ago. hakuwa akiniwekea chochote NSSF japo alikuwa akinikata 10% ya mshahara wangu mda wote nikiwa ktk ajira...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
FORMER Vice-President Prof. Gilbert Bukenya was yesterday charged before the Anti-corruption Court over the botched Chogm 2007 car deal. He denied the charge. In the second case, however, his...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
walinikamata hawakuninyanyasa hawakunipiga walakunifanyia kitendo kibaya chochote,walinilinda wakithamini uongoz wangu kwa taifa letu,alisema mbowe kwenye taharifa ya habar ya itv . jaman...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Nimekuwa nikifuatilia mjadala katika vikao vya bunge hasa la bajeti ambapo wabunge hupata nafasi ya kuchangia kwa dakika zisizopungua kumi kiukweli kuna wabunge wakisimama kuchangia hotuba na mimi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanasheria jana nilikuwa sehemu na bugia maji ya ilala ukazuka ubishi meza ya jirani kuhusu neno original na genuine na pia kuhusu neno warrant na genuine. Original na genuine linaweza kuwa la...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
aliyekuwa mhadhiri katika chuo kikuu cha Arusha mpiganaji Dadi Igogo amefukuzwa kazi katika chuo kikuu cha arusha kwa kuhusishwa na siasa chuoni hapo.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mchungaji Rwakatare kuhojiwa kwa kushindwa kutangaza mali Na Agnes Mwaijega MBUNGE wa Viti Maaluma kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mchungaji Dkt. Getrude Rwakatare, anatarajiwa kuhojiwa leo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu habari za hivi punde Mahakama kuu kanda ya Arusha imetoa amri ya kukamatwa Askofu mkuu wa kanisa la kianglikana. Source ITV.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Baba Askofu, Bwana Asifiwe. Kama sikosei Mahakama kuu ya Tanzania, Arusha ilitoa amri kuwa Askofu Hotay asiwekwe wakfu mpaka hapo pingamizi lililowekwa na waumini wawili lipatiwe ufumbuzi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Bado ningali na kigugumizi na sintofahamu baada ya kampuni ya kimarekani symbion kununua mitambo ya dowans.Ninachofahamu,kwa mujibu wa utaratibu wa kimahakama,shauri lolote lililo mahakamani...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nimepita pale kwenye dula linalouza miswada mbali mbali iliyopitishwa na serikali na nimekuta karibu yote imeandikwa kwa kiingereza nilikuwa nina taka sana ile ya serikali za mitaa tena ambayo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu wana JFkuna ulazima wa kisheria kumtajia mtu umri wako,iwe ni askari au mahakama au mtu yeyote.sheria inasema nini kuhusu hilo.naomba kuwasilisha.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom