Wafungwa wagoma kula kwa siku tatu sasa

Dio

JF-Expert Member
Feb 8, 2011
1,274
158
Kuna habari ameipost JOHN Mnyika kwenye acount yake ya Facebook kuhusu serikali kuficha mgomo wa wafungwa kutokula kwa siku tatu,hapa ninatumia simu ndio maana nikashndwa kuiweka hapa,kama vipi check ndani ya facebook halafu muiweke hapa
asanteni na nawasilisha.
 
Nami nimesikia ila wanaificha kweli hali magerezani ni mbaya sana sana
 
sio kila walioko jella ni wakosaji kuna wengine wapo lakini bado haija bainika kuwa anamakosa au la hivyo wana hakii ya kuishi na kusikilizwa. na wakikaa muda mrefu bila kula watafufa na serikali itakuwa liable kwa kukiuka haki za binadamu. hivyo serikali itatue tatizo hilo mapema
 
Back
Top Bottom