Serikali Ya CCM Inapowageuka Raia Wake !

Muke Ya Muzungu

JF-Expert Member
Jun 17, 2009
3,444
264
Ni swala la aibu kubwa kwa taifa letu, wananchi wanapouwawa na matokeo yake kuitwa wahuni na majambazi. Serikali ya CCM imekuwa aibu tupu.Ijumaa , Spika wa Bunge la muungano la Tanzania Mh. Anna Makinda, alimzuia Mh. Tindu Lisu kuchangia mjadala kuhusu Barrick na North Mara. Najiuliza, hivi hii serikali ni ya nani, wawekezaji au watanzania?

Je Tutawavumilia hawa Chama Cha Mafisadi/ Magamba hadi lini??? Tumechoka nao, hali inazidi kuwa mbaya.... Kitendo cha polisi kuchukua miili ya wafiwa na kuyatupa ni ishara tosha kwamba Barrick ambao hawalipi kodi, na kutoa ajira kwa wageni kuliko wenyeji, inabidi waondoke nchini Tanzania. vinginevyo watanzania watajichukulia sheria mikononi mwao
 
barrick ndio zao kwenye nchi za kijinga kama tz na papua new guinea.Wanachuma bila hata kulipa kodi eti mpaka 2014 ndo wataanza kulipa kodi.Ama kweli tuna serikali inayoongozwa na wajinga kweli
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom