Mamlaka ya DPP

tambi

New Member
Jun 15, 2011
1
0
Mimi ni wakili wa kujitegemea nauliza hivi hizi power alizopewa dpp ni nani anauwezo kisheria kuzitengua.kwa mantik inajulikana ni rais the point is how and under which law msaada plz
 
Rais hana uwezo wa kutengua power za dpp, kwa kuwa dpp ni creature wa katiba kama alivyo yeye, labda kama unazungumzia kumfukuza kazi, ambapo anaweza kufanya hivyo kwa kumteua dpp kuwa jaji, kama alivyofanya kwa ndugu yetu Geofrey Shaidi.
 
Read The National Prosecution Services Act No.27 of 2008 Part III
 
Rais hana uwezo wa kutengua power za dpp, kwa kuwa dpp ni creature wa katiba kama alivyo yeye, labda kama unazungumzia kumfukuza kazi, ambapo anaweza kufanya hivyo kwa kumteua dpp kuwa jaji, kama alivyofanya kwa ndugu yetu Geofrey Shaidi.

Mkuu! you have to read the law,see my post above.
 
Thanks mkuu! I have gone through the law. The president can remove the dpp only afetr it has been recomended to that effect by a special tribunal he formed upon consultation of the Attorney General.
 
Back
Top Bottom