Msaada wa kisheria niweze pata mafao yangu toka kwa muajiri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa kisheria niweze pata mafao yangu toka kwa muajiri

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by fungafunga, Jun 2, 2011.

 1. f

  fungafunga Member

  #1
  Jun 2, 2011
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 40
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  wana JF wenzangu. habarini.
  niliachishwa kazi na muajiri wangu kampuni binafsi 3yrs ago. hakuwa akiniwekea chochote NSSF japo alikuwa akinikata 10% ya mshahara wangu mda wote nikiwa ktk ajira. nimefuatilia kudai hakiyangu mpaka nauli imeisha. NSSF wanasema hawawezi kunilipa kwakuwa hakuna chochote kilichopelekwa kwao.
  tafadhali naombeni ushauri ndugu zangu. nini nifanye na wapi nianzie.
  naomba kuwasilisha.
   
 2. CHUAKACHARA

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #2
  Jun 16, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,827
  Trophy Points: 280
   
 3. Bundewe

  Bundewe JF-Expert Member

  #3
  Jun 17, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 401
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kutokukuwekea michango yako ni kosa la jinai. Na Limitation does not run against the republic, hawezi kukwepa kwa hilo, mripoti kwenye vyombo vya sheria utapata haki yako.
   
Loading...