Swali kwa mhashamu baba askofu mokiwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Swali kwa mhashamu baba askofu mokiwa

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by CHUAKACHARA, Jun 15, 2011.

 1. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #1
  Jun 15, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,827
  Trophy Points: 280
  Baba Askofu, Bwana Asifiwe.

  Kama sikosei Mahakama kuu ya Tanzania, Arusha ilitoa amri kuwa Askofu Hotay asiwekwe wakfu mpaka hapo pingamizi lililowekwa na waumini wawili lipatiwe ufumbuzi.

  SWALI:

  Baba Askofu, hukutekeleza amri halali ya mahakama. Je, na wewe ukitoa amri/wito/maagizo kwa walio chini yako/ waumini wako, waikatae? UMEWAFUNDISHA NINI WAUMINI WAKO KUHUSU UTII?.

  AMRI YA BWANA YESU INAYOSEMA "YAHESHIMU MAMLAKA ILIYOPO" TUNAITEKELEZA?
   
 2. N

  Nanu JF-Expert Member

  #2
  Jun 15, 2011
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 1,224
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Zuio lililokuwepo ni kutokuwa Askofu wa Jimbo, amesimikwa maana amechaguliwa kihalali lakini hajapangiwa Jimbo. Kwani kama watu wa Arusha hawamtaki kwa sababu ya interest ya wachache kuna majimbo mengi na kazi zingine ambazo Askofu ataweza kufanya.

  Kwa hili siyoni tatizo kwa sababu hajapangiwa kituo cha kazi na hasa cha Arusha ambacho ndo kuna watu waliotaka swahiba wao wanaomjua wao ndiyo achaguliwe lakini mambo ya Mungu ni ya Rohoni zaidi na si ya kimwili kama wanavyodhani wao!
   
 3. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #3
  Jun 15, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,827
  Trophy Points: 280
  Nimekuelewa baba Askofu -kama wewe/ofisi/uliyemwelekeza ndiye uliyejibu. Basi na AMANI itawale. Kazi ya Mungu haiitaji Mahakama. Nawashauri waumini waondoe pingamizi hilo, kazi ya Mungu itendeke. Kanisani hakuna biashara yoyote kama baba wa Taifa Nyerere alivyosema kuwa Ikulu kuna biashara gani. Ondoeni pingamizi ndugu zangu wauminihao wawili, tumtukuze Bwana.
  Polisi Nawaomba HEKIMA itawale katika kutekeleza wajibu huu. Hatutegemei ya Mbowe. TUMSIFU YESU KRISTO.
   
 4. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #4
  Jun 15, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Join Date : 4th June 2011
  Posts : 11
  Thanks0Thanked 1 Time in 1 Post

  Rep Power : 0
   
 5. Margwe

  Margwe JF-Expert Member

  #5
  Jun 15, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 256
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hapo kwenye nyekundu mkuu utakuwa 'hutafanya utafiti wa kutosha' hebu soma hii

  BBC News - Nigeria's pastors 'as rich as oil barons'
   
 6. zaratustra

  zaratustra JF-Expert Member

  #6
  Jun 15, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 850
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Ningekuwa mimi ningeandika hayo ya kwenye RED, badala ya kumshambulia askofu kwa maneno yaliyokosa hekima!
   
Loading...