Mulama
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 3,018
- 1,791
Hivi karibuni nilisikia kuwa Mahakama imetoa amri ya kukamatwa Askofu, baada ya kukiuka amri ya kusitisha ku ordain Askofu wa Jimbo la Arusha. Kimsingi kesi iliyotolewa interim order hiyo ni kesi ya madai.
Swali lililonijia ni kumbe mahakama ina uwezo wa kusimamia kesi zake bila kujali kama ni jinai au madai?!, hata hivyo hapa Dar ndugu yangu aliyepeleka kesi kwenye mahakama ya ardhi na kupewa amri ya mahakama ili kusitisha hatua zilizochukuliwa na mdaiwa wake, amri hiyo haijatekelezwa mpaka sasa ni mwezi wanne tangia itolewe!, na mahaka imemwambia mdai afungue kesi ndani ya kesi dhidi ya mdaiwa wake (Court Contempt ) eti ndio mahakama iweze kumchukulia hatua mdaiwa kwa kukiuka amri yake!. Wadau wa sheria tusaidieni hii imekaa vipi?