Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

Attached is Mtikila's petition to the African Court of Human Rights (ACHR).
0 Reactions
1 Replies
1K Views
leo nilikuwa nafatilia bunge wakati linapitisha sheria ya fedha ya mwaka 2011 lakin mwenendo alioutumia Mweshimiwa Makinda kukataa mabadiliko yaliyopendekezwa na Dhambi na Tundu Lisu na Mnyika...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Katika pitia yangu ya magazeti ya bongo nimeona picha ya mtu aliejeruhiwa katika ya ajali ya gari, chini yake kuna maelezo kua jamaa anakimbizwa Polisi kupatiwa cheti ili akatibiwe....... Hivi...
0 Reactions
0 Replies
974 Views
Jamani wanandugu naomba kuuliza tu kwa wale wenzangu wanaoijua sheria! Baba anapokua mkaidi kutoa hela ya matunzo ya mwanae wea do I go to complain about this na sio kwamba hana uwezo! Somebdy pls...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
heshima yenu wakuu! Naomba ushauri wa kisheria,nilimuuzia jamaa mmoja gari ni siku kama kumi zilizopita,hatukuandikishiana sehemu yoyote,lakini nilimpa kadi ya gari,niliuza nikiwa na lengo la...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakuu naomba msaada wa ushauri wa kisheria kwa mtu anayetaka kuacha kazi katika wizara moja kwenda nyingine (kazi tofauti). Pia kama kuna muongozo kuhusiana na hili naomba mnisaidie....
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kinachoendelea bungeni sasa hivi tumekiona. Kwamba Tundu Lissu na wenzake wanamshtaki Spika Anne Makinda kwa kukiuka kanuni. Ukiitizama hii kwa umakini kinachoelekea ni kwamba inawezekana Spika...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Ndugu wataalam wa sheria naomba mnisaidie. Nimekuwa nikiletewa ankara za maji ambazo ni wazi kabisa kuwa zimekaa kiwizi wizi vile. Kila nikienda kulalamika wananiambia hayo ndiyo matumizi yangu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Salam wadau, Kati ya vitu ambavyo ilikuwa ndoto yangu tangu utotoni ni kufanya kazi za kijasusi, ila kwa bahati mbaya au nzuri sikufanikiwa. Sasa baada ya juhudi zangu binafsi nimefanikiwa kwa...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
By Rodgers Luhwago 19th June 2011 IGP Said Mwema: his squad has arrested three religious leaders in connection with drug trafficking. They are well dressed, casting the demons, denouncing the...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Mahita 'aangukia pabaya' kortini Send to a friend Saturday, 25 June 2011 09:44 James Magai MKUU wa zamani wa Jeshi la Polisi Nchini, Omar...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
habari ya zenu jamani,....ningependa kujua mtu wa kwanza kunyongwa kwa adhabu ya kifo tanzania ni nani ?na alifanya kosa gani naombeni mnisaidie kwa anayejua,thanks
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Source: Radio One Taarifa ya Habari ya Saa1 Asubuhi leo. Polisi Mjini Moshi wanamshikilia baba mmoja aitwaye Idd Hashim kwa kumnajisi mtoto wake wa kufikia mwenye miaka 6 anayesoma katika shule...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Mahakama ya Rufani, imetengua adhabu ya kifo dhidi ya Evelina Ngatala mkazi wa mji mdogo wa Makambako Wilaya ya Njombe mkoani Iringa, ambaye alihukumiwa kunyongwa hadi kufa baada ya Mahakama Kuu...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
By Milton Olupot KAMPALA FATHER J.B Kalanzi Ssepuya, the priest accused of grabbing another man’s wife, wants the matter settled out of court. Ssepuya, through his lawyers Muganwa, Nanteza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wandugu. Juzi nilikuwa nasikiliza Clouds wakawa wanaelezea kuna mtoto aliyekuwa analelewa na baba yake mdogo baada ya baba yake mzazi kufariki. Mtoto huyu alifungwa miguu na mikono...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
jamani, huyu Mheshimiwa alisema hakuna haja ya Katiba. Juzi hukumu yake ikatenguliwa na CA-Tanzania. Tutajuta kuzaliwa Tanzania
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau walio Court of Appeal, , kama kuna mwenye nakala ya hukumu ya mfungwa msomi aliyeshinda juzi aturushie. (yule aliyesoma LLB akiwa gerezani)
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Alex Bitekeye And Frank Aman 16 June 2011 Dar es Salaam. - Opposition politician Christopher Mtilika is demanding $150 million (about Sh225 billion) compensation from the government for alleged...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom