Askofu Mokiwa kukamatwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Askofu Mokiwa kukamatwa

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by ketwas, Jun 17, 2011.

 1. ketwas

  ketwas JF-Expert Member

  #1
  Jun 17, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 213
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  breaking news.........Mahakama ya Arusha yatoa hati ya kukamatwa kwa askofu mkuu wa Angrikana dr valentino mokiwa kutokana na kukaidi amri ya mahakama ya kutomsimika askofu
   
 2. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #2
  Jun 17, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  tunangoja wamkamate sasa hapo CCM inadhidi kupoteza radha
   
 3. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #3
  Jun 17, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  akikamatwa tusubiri chama chetu kwenda kudai aachiwe mara moja
   
Loading...