Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

Wadau, leo asubuhi nikiwa mtwara stendi kwenye bus la sumry kabla ya safari ya kuja dar kuanza, aliingia ndani ya bus askari mwenye cheo cha koplo akajitambulisha na kuanza kutoa maelekezo kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Waungwana naomba mawazo yenu. Kuna dogo langu hivi ninavyoandika liko Segerea mahabusu kwa tuhuma za Cyber Crimes(Limekwiba kwa mtandao).Kifupi nimetoka nalo mbali ikiwa ni pamoja na kulitafutia...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Kuna mtu anataka kuongeza jina ambalo halipo kwenye vyeti vyake vya shule. Hii anataka kuifanya kwenye ajira baada ya kugundua kuna mtu wako idara moja na majina yao ni yale yale.Ana birth...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni siku moja tu baada ya kufariki mwanafunzi wa mwaka wa tatu huko COED, usiku wa kuamkia leo kijana mwingne wa mwaka wa pili amefariki na wenzie kadhaa kujeruhiwa baada ya kupigwa na radi maeneo...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Child Act 2009 inadefine mtoto Kama "any person below the age ov 18" na juvenile court inatambua mtoto (or young persons) ni Yule mwenye 16 yrs n below..., sasa mtu Wa miaka 17 tunamuweka wapi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
WanaJF kama kuna mtu anajua namba ya kesi ya wale wabugaria waliokamatwa wakiiba ATM anisaidie kujua kesi namba.Msaada please.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Waungwa naombeni msaada wa kisheria ili niwashtaki rais na wabunge wa ccm kwa kushindwa kulinda katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania. Mkumbuke kwa mujibu wa viapo walivyokula ni kwamba...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
ni kuhusu arthi,ni mmiliki wa ardhi kwa muda mrefu ila nimekabidhiwa miaka mitatu iliyopita na mzazi.tatizo linakuja katika hiyo ardi kajitokeza mtu na kudai yake.je sheria inasemaje kuhusiana na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Shangazi Faiza, Sikuweza kuingia jukwaa la hoja nzito ili kuijibu hoja yako ya uraia wa Nyerere. Tanganyika ilikuwa siyo colony per se ilikuwa ni League of Nations Mandate (together with British...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Nimeirudia ili kuifanya specific zaid,nahitaji kujua majina ya vyuo vya sheria na mahali vipopatikana.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Salaam wana JF. Tafadhali wataalamu wa mambo ya sheria, naomba msaada wenu wa kisheria. Hivi polisi ngazi ya Wilaya au Mkoa akizuia shtaka la mlalamikaji lisifikishwe mahakamani, ni kitu gani...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mahabusu Alli Nuru (Mwasa)Mkazi wa Chang`ombe Dodoma akiwa amezungukwa na Askari polisi wa kikosi cha Mbwa wakimsihi aondoke chini ya bendera ya Taifa alipokaa jana baada ya kujipakaza mwili wake...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
ikiwa mtu anaingia tz kwa mara ya kwanza unaweza akasea hakuna wanaojua sheria,tunakuwa fooled ktk mengi.watu wanakuwa charged wrongly ili watoke mfano kesi ya aliyekuwa mkuu wa polisi kanda ...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Je, kimbilio la mfanyakazi ni wapi hasa pale ambapo wanaohusika katika ishu ya ubaguzi na unyanyasaji ni mkuu wa idara na meneja wa kampuni? Imekuwa sasa kudhalilishwa kazini na kushushwa vyeo...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Pengine tufikie hatua tuseme ukwl bila kujali kuangaliana.Nawashangaa sana mnaokesha mkidai katiba ibadilishwe,huwez kuoa/kuolewa na mke/mme mwingine ndio umumwache ulienae,ni lazima umuache...
0 Reactions
0 Replies
999 Views
Waheshimiwa mimi ninaishi na majirani wawili tunaopakana mpaka wa viwanja vyetu. Na wote tunatumia njia moja kufika majumbani kwetu na njia hiyo inaishia kwenye kiwanja changu. Majirani zangu hao...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari zenu wandugu jukwaani. Natumai wote tu wazima. Nilikua napenda kujuzwa kwa yeyote mwenye tetesi na habari ya kesi ya Jerry Muro aliyekua mtangazaji wa TBC. Mda umeenda na sijajua imefikia...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari waungwanaNaomba msaada wa hili swala kwa wazee wa fikra pevu, kuna rafiki yangu alizaliwa nje ya nchi baadae familia ikarudi tz, akasoma primary mpaka college hapa nchini, juzi alienda...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Napata shida katika hili kwa sababu gani nasema hivi Watanzania tulio wengi atuzifahamu sheria ya nchi yetu yaani(katiba) sasa kumekuwa na tabia ya watu wengi mno kusema wanadai haki kwenye mambo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa wale wanasheria embu tupeni ufafanuzi na vigezo gani vinaangaliwa katika kutoa hukumu. Nimesoma kwenye habari leo kwamba meya wa zamani wa Rwanda aliyehusika kwenye Mauaji ya Kimbari ya Rwanda...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…