Katiba isibadilishwe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Katiba isibadilishwe

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Senator p, Dec 1, 2011.

 1. S

  Senator p JF-Expert Member

  #1
  Dec 1, 2011
  Joined: Oct 27, 2011
  Messages: 283
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pengine tufikie hatua tuseme ukwl bila kujali kuangaliana.Nawashangaa sana mnaokesha mkidai katiba ibadilishwe,huwez kuoa/kuolewa na mke/mme mwingine ndio umumwache ulienae,ni lazima umuache ulienae kisha uoe/uolewe na mwingine.Kama kwel mnapenda inch hii lazima 2fanye jambo moja tu.Bila kujal unajua sheria au ujui,unajua katiba iliyopo au ujui.Jambo ni moja 2,ni kufuta au kutupilia mbal hii katiba isiyokizi haja ya watanzania.Kuliko kuendelea kuitumia.Ni kwel amuitaki tatizo hii katiba ndio inayowaelekeza nini mfanye ili mpate katiba nyingine.Ndio maana malumbano hayaishi juu ya katba mpya.Chama tawala ,kinataka kubadilisha(kuchakachua) katba na sio kutengeneza katiba mpya,ndio maana mswada wameupitisha.KWA HIYO KATIBA ISIBADILISHWE,BALI IFUTWE KABISA.ILI TUTENGENEZE MPYA YA WATANZANIA NA CO YA WATAZAMAJI.Kumbuka kuanza upya co ujinga.
   
Loading...