Yaani aliyechoma nyumba anafungwa maisha ila aliyehusika na mauaji Rwanda anafungwa miaka 15! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yaani aliyechoma nyumba anafungwa maisha ila aliyehusika na mauaji Rwanda anafungwa miaka 15!

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by everybody, Nov 19, 2011.

 1. everybody

  everybody JF-Expert Member

  #1
  Nov 19, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kwa wale wanasheria embu tupeni ufafanuzi na vigezo gani vinaangaliwa katika kutoa hukumu. Nimesoma kwenye habari leo kwamba meya wa zamani wa Rwanda aliyehusika kwenye Mauaji ya Kimbari ya Rwanda amehukumiwa na mahakama huko Arusha kwenda jela miaka 15. Halafu nimesoma kwenye gazeti hilo hilo la Tarehe: 17th November 2011 kwamba "MAHAKAMA ya Wilaya Ruangwa mkoani Lindi, imemhukumu Hamisi Nassoro (31) kifungo cha maisha jela baada ya kupatikana na hatia ya kuchoma moto nyumba" na kadiri ya habari yenyewe inaonekana hakuna mtu aliyepoteza maisha kwenye kuchoma nyumba huko. Anayestahili kupata kifungo cha maisha si huyo aliyeshiriki kwenye mauaji ya maelfu ya watu huko Rwanda???!!!! Hii imekaaje jamani kwa wale wanasheria?
   
 2. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #2
  Nov 19, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Kwani tunatumia sheria moja (Tanzania na Rwanda)?

  Mahakama unayodai ni ya Arusha ni Mahakama maalum ya Umoja wa Mataifa kuhusu Rwanda (ICTR) ambayo ina taratibu zake tofauti na Mahakama za Tanzania hata Rwanda kwenyewe ulikotendeka huo uhalifu.
   
 3. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #3
  Nov 20, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Ndo tulivyo waafrica
   
 4. KING COBRA

  KING COBRA JF-Expert Member

  #4
  Nov 20, 2011
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 2,783
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Maranda amefungwa miaka 5 kwa kosa la 3.5bilion Wakati Lihumba kafungwa mika 3 kwa kosa la upotevu wa zaid ya 250bilions
   
 5. KING COBRA

  KING COBRA JF-Expert Member

  #5
  Nov 20, 2011
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 2,783
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Je unajua Lowasa ,Rostam na Chenge Wamehusika na wizi Kiasi gani na kwa nini hawakamatwi???
   
 6. everybody

  everybody JF-Expert Member

  #6
  Nov 26, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Naona kama kuna a lot of inconsistence kwenye maamuzi ya majaji wetu kwa kweli....
   
 7. Columbus

  Columbus JF-Expert Member

  #7
  Nov 26, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,010
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Sijui hesabu kamili ila ninachojua vifo vingi vya mama na mtoto vinavyotokea mahospitalini vimesababishwa na hawa RACHEL kwa vile wamekwiba pesa za kununulia madawa na huduma zingine walaaniwe!!!!!!!!!!!!!
   
 8. d

  davestro Senior Member

  #8
  Nov 26, 2011
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 128
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hiyo ndo dawirn perspective that z' survival 4 the fittest.kama we ni mfup(maskin)utabak kuonewa mpaka kufa,kama ww ni mrefu(....)utakula mbivu za nchi
   
 9. MKUNGA

  MKUNGA JF-Expert Member

  #9
  Nov 27, 2011
  Joined: Dec 10, 2009
  Messages: 443
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  WADAU,
  SHERIA NDIO HUTUNGA AU KUFANYA TENDO FULANI KUWA KOSA NA HUTOA ADHABU MF. KIFO,KIFUNGO,FAINI,FIDIA NK. MAKOSA MENGI SHERIA IMEWEKA 'MINIMUM PUNISHMENT' MF. UKIBAKA MINIMUM=30 YRS, HAKIMU HARUHUSIWI KUKUFUNGA 29 YRS. KUHUSU KUCHOMA NYUMBA SHERIA INASEMA KIFUNGU 311 KANUNI YA ADHABU...
  OFFENCES CAUSING INJURY TO PROPERTY (ss 319-332B)

  Any person who willfully and unlawfully sets fire to–
  (a) any building or structure whatever, whether completed or not;
  (b) any vessel, whether completed or not;
  (c) any stack of cultivated vegetable produce or of mineral or vegetable fuel; or
  (d) a mine or the workings, fittings or appliances of a mine,
  is guilty of an offence and is liable to imprisonment for life

  KWA HIYO HUYO JAMAA ALITAKIWA ALAMBWE KIFUNGO CHA MAISHA.
   
 10. everybody

  everybody JF-Expert Member

  #10
  Nov 29, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nimekupata mkuu. Kwa hiyo katika kosa hili hakimu hana mbadala (option) wa hukumu au hii ndo minimum punishment? Kama ndo hivyo haki itendeke kwa watu wote, sio kuwaumiza wanyonge tu.
   
Loading...