Naomba msaada wa kisheria | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba msaada wa kisheria

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Viol, Dec 4, 2011.

 1. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #1
  Dec 4, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  ni kuhusu arthi,ni mmiliki wa ardhi kwa muda mrefu ila nimekabidhiwa miaka mitatu iliyopita na mzazi.tatizo linakuja katika hiyo ardi kajitokeza mtu na kudai yake.je sheria inasemaje kuhusiana na jambo hili?
   
 2. m

  moshingi JF-Expert Member

  #2
  Dec 5, 2011
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 278
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pamoja na matatiza ya "spellings" katika meseji yako, nimekuelewa kuwa umerithishwa
  ardhi ambayo uliyemrithi alikuwa akiimiliki kwa muda mrefu hujasema kwa muda gani
  na pia aliipataje. Aidha hujasema ardhi hiyo imepimwa au inamilikiwa kimila? Pia hujafafanua madai
  ya huyo anayedai kuwa ardhi hiyo ni yake, aliipataje na lini na ni vipi ilimilikiwa na huyo unayedai kuwa
  alikurithisha, lazima hadithi zote mbili ziwe bayana ili upate ushauri wa kitaalamu hapa, ila mwisho wa siku
  ni muhimu ukatafuta mwanasheria/wakili kwani huenda habari nyingine ukiziweka hapa zinaweza
  kumnufaisha mpinzani wako, ila kama unaweza kuziweka kwa namna ambayo itatunza siri ziweke kwa kujibu
  maswali hayo muhimu ili wataalamu wakuchangie mawazo.
   
Loading...