Nyerere alikuwa raia wa Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyerere alikuwa raia wa Tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by SOBY, Dec 3, 2011.

 1. SOBY

  SOBY JF-Expert Member

  #1
  Dec 3, 2011
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 1,265
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Shangazi Faiza,
  Sikuweza kuingia jukwaa la hoja nzito ili kuijibu hoja yako ya uraia wa Nyerere.
  Tanganyika ilikuwa siyo colony per se ilikuwa ni League of Nations Mandate (together with British Togoland), kwa hiyo raia au wakaazi wa Tanganyika kabla ya uhuru walikuwa na status ya British Protected Persons
  Hao siyo raia wa Uingereza, bali husafiri na passports za Uingereza na huwa hawaitwi aliens.Something in between.

  BPPs huwa wanapoteza hiyo status upon independence bila hata kula kiapo, kwani automatically wakaazi wote wa Tanganyika walikuwa BPPs,(British Nationality Act, 1948).
  Ili ku maintain BPP status inabidi uwe huna uraia wa nchi yeyote (stateless) after independence.
  Sasa uraia wake unakuja through Tanganyika citizenship Ordinance, 1961...repealed 1962.
   
 2. Imany John

  Imany John Verified User

  #2
  Dec 3, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 2,777
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 180
  In Tanzania the there are three main
  types of citizenship :
  1.Citizen by birth
  2.Citizen by descent
  3.Citizen by Naturalization
  Citizenship by birth Any child born within the borders of
  the United Republic of Tanzania, on or
  after union day, 26th April 1964, is
  granted citizenship to Tanzania,
  considering that the child's parents are
  Tanzanian Citizens, as stated in the Tanzanian Citizenship act of 1995.[1] Citizenship by Descent A foreign citizen of Tanzanian Ancestry,
  may seek citizenship of Tanzania,
  considering they meet the following
  requirements : . They are at the age of twenty one and
  above when making the application . They can prove that they are of
  Tanzanian Ancestry . They are willing to renounce their
  foreign citizenship, as Dual Citizenship
  in Tanzania is not permitted. There is a
  bill currently being processed to
  change this situation, however the law
  may not be enacted for at least a year or so.[2] Citizenship by Naturalization Any foreign National with no ancestry
  or birth ties with Tanzania may apply
  for citizenship through Naturalization. In order for a foreign National to
  become a Tanzanian citizen through
  Naturalization, the following conditions
  must be met. (a). That he has resided in the United
  Republic throughout the period of
  twelve months immediately preceding the date of the
  applications. (b). That during the ten years
  immediately preceding the said period
  of twelve months he resided in the United Republic for
  periods amounting in the aggregate to
  not less than seven years; and (c). That he has an adequate
  knowledge of Kiswahili or the English
  language; and (d). That he is of good character; and (e). That, in terms of his past and
  potential contribution to the national
  economy, scientific add technological
  advancement and to the national social
  and cultural welfare, he would be a
  suitable citizen of the United Republic; (f). That he intends, if naturalized, to
  continue to reside permanently in the
  United Republic.[3] The Application for citizenship is lodged
  through the Tanzanian Ministry for
  home affairs, and in special situations,
  whereas the minister sees fit, some of
  the requirements may be waived. The case for Minors In the case of minors, according to the
  citizenship act of 1995, once the parents
  are granted citizenship to the united
  republic of Tanzania, the child is also by
  right entitled to receive citizenship,
  considered they are under legal age and still living under the care of their
  parents. Commonwealth citizenship Tanzania has been a member of the commonwealth of Nations since 26th April 1964, following the merger of
  Tanganyika and Zanzibar. Being that it
  is a member of the commonwealth on
  Nations, Tanzanian citizens are also commonwealth citizens, a status which entitles them to certain rights and
  benefits in the United Kingdom. Amongst some of the benefits, in some
  countries without Tanzanian consular
  representation, citizens of the United
  Republic may enquire or seek assistance
  with the United Kingdom's High
  commission.
   
 3. myhem

  myhem JF-Expert Member

  #3
  Dec 3, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Jamani acheni kupoteza muda wenu kulijibu hilo guberi foxy maana lenyewe lina kazi moja tu ya kukosoa watu wenye imani tafauti na yake.Roho mbaya ndiyo inayoutawala moyo wake na sidhani kama atakuwa hana vidonda vya tumbo.
   
 4. Imany John

  Imany John Verified User

  #4
  Dec 3, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 2,777
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 180
  Yule mimi ndo kiboko yake.kanpga pin kunchangia uzi wake wowote.
   
 5. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #5
  Dec 3, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,157
  Trophy Points: 280
  Soby nimekusoma, huo ni Utanganyika kama sijakosea. Nnachoongelea ni Utanzania.
   
 6. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #6
  Dec 3, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,078
  Likes Received: 1,815
  Trophy Points: 280
  si kweli kabisa.. nakumbuka tuliwahi kujibizana kwa hoja katika ile thread ya wale wahuni wanaotaka kupindua nchi.. mwisho ukaishia kumwaga kejeli.. nadhani amekupiga pini kwa ajili ya hilo.. umezidi kejeli na uchache wa hoja
   
 7. Imany John

  Imany John Verified User

  #7
  Dec 3, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 2,777
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 180
  Lakini si kweli umenipiga pini?
   
 8. Imany John

  Imany John Verified User

  #8
  Dec 3, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 2,777
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 180
  Mods naomba muieondoe hii akaunti ya "njiwa" mana amedhirisha wazi kuwa yeye ni faizafoxy with new ID.
  Plz mods naomba mumuondoe.
   
 9. Tango73

  Tango73 JF-Expert Member

  #9
  Dec 3, 2011
  Joined: Dec 14, 2008
  Messages: 1,678
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 135
  mimi sijali kama alikuwa raia au hakuwa. Ninachojali ni , kwa nini aliua kiingereza mashukeni? Madhala yake ni makubwa sana kwa kipindi cha sasa cha soko hulia la kazi EAC. Aliweka azimio la musoma-madhala yake n makubwa sana kwa taifa kupoteza wataalamu weni ambao walikata tamaa na kuingia chuo kikuu.
   
 10. SOBY

  SOBY JF-Expert Member

  #10
  Dec 3, 2011
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 1,265
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Utanzania unatokana na Articles of the Union, Article IV (vi).
  Pia, Union of Tanganyika and Zanzibar Act, 1964, Article 5(a) (vi).
  Ambayo imekuja kuwa clarified and put into legislation by Tanzania Citizenship Act, 1995 Article 4 (1).
   
 11. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #11
  Dec 3, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  FF naona unataka kutuchezea akili zetu hapa na hizo chuki zako toward JK Nyerere, kumbuka nyerere alienda UK kwa government scholarship ya Tanyanyika kusomea political economy for his Master of Arts at the University of Edinburgh. Na he was the first Tanzanian to study at a British university and only the second to gain a university degree outside Africa. Sasa mbona hawasemi alikuwa Mwingereza mweusi? FF chuki zako dhidi ya Nyerere zinakufikisha pabaya, na utadharaulika kama Fisadi papa kikwete anavyodharaulika kwa Watanzania.
   
 12. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #12
  Dec 3, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,157
  Trophy Points: 280
  Nyerere hapo yupo kundi lipi?
   
 13. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #13
  Dec 3, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,157
  Trophy Points: 280
  Wakati huo Tanzania ilikuwa haijazaliwa, kumbuka Tanzania imezaliwa 1964.
   
 14. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #14
  Dec 3, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,157
  Trophy Points: 280
  Nimezipitia hizo, sijaona sehemu inayom qualify Nyerere kuwa Raia wa Tanzania, labda uniwekee hicho kifungu cha sheria, si lazima uziweke zooote hizo, just kifungu kinachohusu. Nipe Ilmu.
   
 15. SOBY

  SOBY JF-Expert Member

  #15
  Dec 3, 2011
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 1,265
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kama kweli umezipitia,utaona kuwa citizenship ni suala la serikali ya muungano among other things.... na hizo acts ndiyo zinaelezea hilo, kwamba citizenship is a union thing, 1964 act ilichofanya ni kuweka hizo articles of the union kuwa acts of the union. An act is a law.

  Ukisoma act hiyo ya 1964, utaona kuwa sheria za Tanganyika zilikuwa sheria za muungano tangu tarehe 22 April 1964 na Zanzibar ilikuwa na sheria zake pia.Kwa hiyo, sheria za Uraia wa Tanganyika from the 1961 Ordinance ndiyo sheria za uraia wa muungano. Hii ilimfanya muomba uraia wa Tanzania awe judged kwa kutumia vigezo vya Ordinance ya 1961/62.


  Tanzania citizenship Act, 1995 imeeleza bayana kuwa raia wote wa Tanganyika before Union na wote wa Zanzibar before 1964 ni raia wa Tanzania.
   
 16. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #16
  Dec 3, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,157
  Trophy Points: 280
  "Citizenship by birth Any child born within the borders of the United Republic of Tanzania, on or after union day, 26th April 1964, is
  granted citizenship to Tanzania"

  "as stated in the Tanzanian Citizenship act of 1995."

  Sio (before) "kabla" ya 1964, (after) "baada". Kama unayo hiyo inayosema "kabla" naomba kuiona, hayo ndiyo niyajuwayo mimi.
   
 17. SOBY

  SOBY JF-Expert Member

  #17
  Dec 3, 2011
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 1,265
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Okay, hii debate nishawahi kuifanya. Soma parts za hiyo act hapo chini.

  3.The Articles of Union between the Governments of the Republic of Tanganyika and the People's Republic of Zanzibar (which Articles are set out in the Schedule to this Act) are hereby approved and ratified.

  4. The Republic of Tanganyika and the People's Republic of Zanzibar shall, upon Union Day and ever after, be united into one Sovereign Republic by the name of the United Republic of Tanganyika and Zanzibar

  5. (1) Subject to the provisions of this section and to any Act of the Parliament of the United Republic whereby the provisions of the interim Constitution of the United Republic may be altered, the United Republic shall be governed during the interim period in accordance with the provisions of the Constitution of the Republic of Tanganyika as so modified as to provide- interim Constitution of the United Republic

  (a) for the reservation to the Parliament and Executive of the United Republic of the following matters:-

  (i) the Constitution and government of the United Republic,
  (ii) External Affairs;
  (iii) Defence;
  (iv) Police;
  (v) Emergency Powers;
  (vi) Citizenship;
  (vii) Immigration;
  (viii) External trade and borrowing;

  Uraia wa Tanganyika ni uraia wa Tanzania tangu tarehe 25 April 2011. Kuanzia siku hiyo mtu yeyote anayetaka uraia wa Tanganyika, atapewa uraia wa Tanzania. Watanganyika wote walikuwa watanzania baada ya hapo.

  Kuhusu 1995, the logic behind ni kuwapa waliozaliwa siku hiyo na baadae uraia wa Tanzania, kwani kulikuwa hakuna harmonized act iliyowapa uraia watanzania baada ya muungano. Ndio maana tuliacha kutumia passports kwenda Unguja.

  Kwa hiyo, act hiyo ya 1995 inawapa uraia watanganyika wote waliozaliwa kabla ya muungano uraia wa Tanzania, yaani unaweza kutumia hiyo act kujustify utanzania wa wazanzibar kwani ule wa watanganyika ulishakuwepo automatically tarehe 25, April 1964.
  Ni sawa na mtu akikwambia "na yie mmo", hiyo unaweza kuitumia kujustify uwepo wa watu wengine kabla yenu. Au mtu akikwambia amekunya, ujue automatically unaweza kujustify kuwa lazima alikojoa, kwani huwezi kunya bila kukojoa.

  Sijui tunaelewana?...... the debate is..... did ZNZ ratify those artcles? Unaweza kuwa upande wa Jumbe au Shvji, thats up to you, but you presented a very challenging topic ingawa kuna watu walikuwa wanakuona uko shallow. This topic can best be argued in a micropolitical point of view, there weren't blanket decisions that could 100% explain it.

   
 18. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #18
  Dec 3, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,157
  Trophy Points: 280
  Hiyo nyekundu inamaanisha alipoenda mbele za haki alikuwa hajawa Mtanzania.
   
 19. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #19
  Dec 3, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  FF Wazazi wako waliomba urai wa Tanzania au bado wanauraia wa Tanganyika? Samahani kukuuliza hivyo.
   
 20. YEYE

  YEYE JF-Expert Member

  #20
  Dec 3, 2011
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 440
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mkishafikia Conclusion mtatuambia ka alikuwa raia au la!?
   
Loading...