Haki ya mtoto mwenye umri Wa miaka 17 Iko wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Haki ya mtoto mwenye umri Wa miaka 17 Iko wapi?

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Ghetto Diva, Dec 7, 2011.

 1. G

  Ghetto Diva Member

  #1
  Dec 7, 2011
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Child Act 2009 inadefine mtoto Kama "any person below the age ov 18" na juvenile court inatambua mtoto (or young persons) ni Yule mwenye 16 yrs n below..., sasa mtu Wa miaka 17 tunamuweka wapi Kama haki za utu uzima Hana mf. Driving na kupiga kura na pia hapati haki Kama mtoto afanyapo kosa...?
   
Loading...