Theodora
JF-Expert Member
- Dec 20, 2009
- 802
- 570
Je, kimbilio la mfanyakazi ni wapi hasa pale ambapo wanaohusika katika ishu ya ubaguzi na unyanyasaji ni mkuu wa idara na meneja wa kampuni?
Imekuwa sasa kudhalilishwa kazini na kushushwa vyeo kiholela - kisa ni kusimamia ukweli. Hasa makaburu ndio wamezidi na tabia hiyo. Halafu vipi Mh. Vuai anaweza kusaidia pale waziwazi nafasi anaondolewa mbongo na kuwekwa kaburu ambaye hana vyeti na hata hawezi kupata kibali cha kufanyia kazi Tanzania - Basi anakuwa anatembeatembea ofisini tu kutafuta umbea wa kupeleka.
Je, wapi naweza kupata msaada?