Anagalizo kwa Jeshi la polisi: Kesi dhidi ya Samson Mwigamba inalidhalilisha Jeshi letu!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Anagalizo kwa Jeshi la polisi: Kesi dhidi ya Samson Mwigamba inalidhalilisha Jeshi letu!!!!

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by KING COBRA, Dec 21, 2011.

 1. KING COBRA

  KING COBRA JF-Expert Member

  #1
  Dec 21, 2011
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 2,783
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Ni jambo la ajabu na aibu Kwa Polisi kumushitaki Raia Samson Mwigamba kuwa anawachochea Majeshi yetu kuasi amri halali za wakubwa zao na pengine kuto mtii Rais Kikwete!!!
  Hapa inaonekana kuwa Majeshi yetu yaneweza kuamuliwa na mtu yoyote kutoka kokote na wao wakatii na kumupindua Rais au kufanya uasi!!

  Mashitaka haya yangekuwa halali ingekuwa Samson Mwigamba ni Mwanajeshi au kachero ambaye anaushawishi wa kijeshi kwa wanajeshi!!


  Kama huwezi kumushawishi Mbwa ambaye hujamufuga wewe kukutii iweje Askali ambao ni wanadamu na wanakiapo cha utii kwa Rais???

  Ni kwa nini Polis wasifikiri jambo hili???. Hivi mkeo anaweza kuamuliwa na mwanaume yeyote ndani ya nyumba yako na wewe ukasema una mke???

  Hapa mimi naona Rais hana imani na Jeshi lake ndio maana anaogopa kuwa mpinzani wake SLAA kupitia Chadema ana nguvu na Wana jeshi wanamtii kuliko yeye!!!

  Hapa napata Ukweli kuwa huenda Kikwete kaingia kwa Nguvu Madarakani na Kwamba Majeshi hawamtaki!!!

  Natoa angalizo kuwa Kuendelea kuwakamata Raia na kuwapeleka Mahabusu wanazidi kufichua udhaifu wa Majeshi!!

  Pia upo ukweli kuwa Majeshi yetu askali wa chini wanaendekeza Kanuni ya Ndio Mzee na hiki ndicho chazo cha kuenea Ukimwi Kwenye Majeshi!!

  Askali wa Cheo cha chini mwanamke analazimika kufanya ngono na polisi wa juu kuhofia amri kupingwa na mabavu haya yapo kwenye majeshi yote na wasipo tii wanashushwa vyeo.


  Kule Iringa kambi moja ya Jeshi bossi wa jeshi alikuwa ana mpanga mwanamume kwenye zamu ya usiku huku Boss huyo anageuka Usiku huohuo kuzini na mke wa aliye zamu.

  Yule Bwana alipo gundua alimpiga risasi Boss hadi leo ni bhistoria!!!


  Nawashauri polisi kuondoa mashitaka dhidi ya Raia kushawishi Jeshi ni aibu kwa Taifa!!!
   
 2. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #2
  Dec 21, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Hawataondoa,unadhan wataelewekaje
   
 3. S

  Singlemannen New Member

  #3
  Dec 22, 2011
  Joined: Dec 22, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante sana kwa nasaha zako katika ujumbe ulioandika hapo juu.
  Ni takriban miaka zaidi ya ishirini sasa wakati jambo unaloandika juu ya yule afande kule nyanda za juu kusini alipolimwa risasi kwa ile zinaa...nilikuwepo jeshini kipindi kile...sihitaji kujieleza zaidi kwa sababu unaandika habari yenye ukweli mtupu.

  kama unavyojiuliza, nimekuwa nikijiuliza vivyo hivyo. Je tuna askari wadhaifu katika kazi yao kiasi cha kuchochewa na raia? Kama ndivyo, basi ni hatari...Nasema ni hatari kwa sababu wengi wa askari wanateuliwa (Narudia wanateuliwa) kuwa viongozi (wakuu) wa mikoa, wilaya nk. Ni hatari...

  Nadhani sasa nchi inajisasambua viwalo vya heshima...Mbaya zaidi ni kwamba huwa bado tunakuwa na ile dhana ya zamani kuwa kuna siri za nchi ambazo huwa tunazijadili kwenye simu, emails, karatasi zenye muhuri (SIRI) nk. Lakini tunajisahau kuwa hatuna satelite hata moja angani, hatuna teknologia ya kwetu wenyewe na hatuna mtandao ambao maadui wa nje hawana access...kwa hiyo hatuna siri yoyote.
  Ni hatari....
   
Loading...