Msaada. Mtu nisiemfahamu kadeposit fedha kwenye akaunt yangu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada. Mtu nisiemfahamu kadeposit fedha kwenye akaunt yangu

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Mr Suggestion, Dec 21, 2011.

 1. Mr Suggestion

  Mr Suggestion JF-Expert Member

  #1
  Dec 21, 2011
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 60
  [TABLE="width: 500"]
  [TR]
  [TD]Wadau nina akaunt katika benki moja hapa jijini Dar sasa kumekuwa na mchezo wa mtu kudeposit fedha kwenye account yangu pasipo mimi kumfahamu mtu huyo. Mara ya kwanza aliweka kama milioni 27, nilipoipata meseji nikamtafuta meneja wa benki nikamwelezea akadai fedha zimewekwa kwa local check, baadae zikawa zimetolewa lakini kwa mfumo wa kuzitransfer kwenye akaunt nyingine. wiki hii wameingiza kama milioni 15 hivi sasa nashindwa kuelewa nifanyeje kwani akaunti hiyo ni ya kibiashara, sheria zikoje hapo endapo nikichukuwa mzigo huo bila kumwona meneja
  Nawasilisha wakuu[/TD]
  [TD][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD][/TD]
  [TD][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD][/TD]
  [TD][/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 2. UmkhontoweSizwe

  UmkhontoweSizwe JF-Expert Member

  #2
  Dec 21, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 2,973
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Nenda kazichukue fasta uhamishie kwenye akaunti nyingine na ufunge hiyo akaunti. Next time watahamisha na zako (Kama unazo, lol)!
   
 3. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #3
  Dec 21, 2011
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  unatafuta kufungwa tu wewe,hiyo account yako ni njia ya kupitiahia hela za wizi kama vp ongea na meneja mkatie kidogo la sivyo ukichua kimyakimya utajikuta segedansi. Nitarudi baadae
   
 4. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #4
  Dec 21, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,193
  Trophy Points: 280
  Wanapozitoa wanazi transfer kwa njia gani? Kwa idhini ya nani? Kuna nani mwingine mwenye dhamana ya akaunti hii?
   
 5. m

  mhondo JF-Expert Member

  #5
  Dec 21, 2011
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Inawezekana ndiyo yale mambo ya money laundering yaani kutakatisha fedha haramu. Ni vizuri utoe taarifa na polisi/Takukuru ili usije kuhusishwa na huo mchezo kwani ikichukuliwa bank statement yako kama ushahidi unaweza kujishtukia unafikishwa Mahakamani kwa kosa lisilokuhusu pale itakapobainika kuna mchezo mchafu.
   
 6. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #6
  Dec 21, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,404
  Trophy Points: 280
  Anti-money Laundering kuna kitengo bank kinaitwa risk management hapo kuna chezo linapigwa hapo hela za kupigwa hizo na maofisa wa benki,ongea nao wakupe hata mil5 la sivyo kawalipoti na message usizivute kwani ushahidi pili print haraka mini-statement ili uwakamate vizuri cheza na apportunity hiyo usilaze damu ingekuwa mimi hapo sikosi mil5
   
 7. Mr Suggestion

  Mr Suggestion JF-Expert Member

  #7
  Dec 21, 2011
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 60
  Mkuu tupo wawili kwenye hiyo biashara tupo wawili na uwezo wetu si wa milioni hizo 27, so jamaa walizitransfer kwenda akaunti nyingine lakini vijisenti vyetu walituachia
   
 8. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #8
  Dec 21, 2011
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Hapo kuna mtu anataka kujenda ushahidi wa kua anakutumia hela. Baadae utafunguliwa mashtaka ya money laundry au corruption!
  Hakikisha una record ya pesa hizo zinako enda (ili uoneshe kua hukuzitumia) na kama utaweza jaribu kuzi trace zinatokea wapi.
   
 9. Mr Suggestion

  Mr Suggestion JF-Expert Member

  #9
  Dec 21, 2011
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 60
  Nikawaripot vipi mkuu, kwani nimekuwa nikimfuata meneja several times lakini ananizingua mara nitashugulikia mara njoo kesho. mimi nikizani labda competitor wangu kibiashara wananichezea chezo ili mwisho wa mwaka nionekane nimefanya biashara nzuri ili TRA wanikamue vilivyo
   
 10. shizukan

  shizukan JF-Expert Member

  #10
  Dec 21, 2011
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Very simple. Omba bank statement then hizo transaction utaziona zooooote. Na kwa kukushauri, muone mwanasheria manake hainiingii akilini mtu anawezaje kutransfer hela toka kwenye account yako bila consent yako.
   
 11. Mr Suggestion

  Mr Suggestion JF-Expert Member

  #11
  Dec 21, 2011
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 60
  Deposit yake inafanywa kwa local check so ni ngumu kujua zinatokea wapi MWALI. Hata mimi nashindwa kuelewa kwa nini mzigo huo aniwekee mimi tu au na meneja nae anahusika katika mchezo huo.
   
 12. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #12
  Dec 21, 2011
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Inawezekana kuwa kulikuwa na makosa wakati wanapost hizo entries na wakacredit account yako kwa makosa ; wakigundua makosa yao huwa wanareverse hizo entries na wewe ndio unafikiri wame transfer to another account!!
   
 13. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #13
  Dec 21, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Hili suala ni nyeti saana, hasa yategemea wewe ni nani... Wafanya kazi gani yenye majukumu yepi. Sio bure kua pesa iingizwe kwenye a/c then iwe transfered tena bila idhini yako; you have the right to get worried na kulifuatilia hili jambo kwa undani. Ushauri epuka tu ile tamaa ya kusema uzichukue na uzitumie... zaweza leta shida kubwa saana in the long run.
   
 14. b

  bitimkongwe JF-Expert Member

  #14
  Dec 21, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 3,034
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  Ni kweli hao wanawachezea mchezo wa kusafisha fedha. Muandikie Meneja barua na uhakikishe umemueleza kwamba ikitokea tena kwa mara ya tatu basi utalazimika kuripoti TAKUKURU na taasisi nyengine za fedha. Na utaandika kwenye magazeti na kutoa vielelezo vyote.

  Kama wanakuchezea mchezo basi wataogopa kwani reputation ya bank itaharibika.

  Tafadhali ni PM nijue ni bank gani hiyo. Kama ni ile ninayoweka vijisenti vyangu nikaviangalie vizuri.
   
 15. Mr Suggestion

  Mr Suggestion JF-Expert Member

  #15
  Dec 21, 2011
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 60
  Thanks Asha ndio maana nimekuja kutaka ushauri kwenu kwani nahofia sana kwani mambo ya kusimama mahakamani si mchezo, tena katika ulimwengu huu wa sasa.
   
 16. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #16
  Dec 21, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,147
  Likes Received: 3,335
  Trophy Points: 280
  Hilo zali likinitokea Mimi nazi draw faster! Kimya kimya.
   
 17. The Dude

  The Dude JF-Expert Member

  #17
  Dec 21, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 981
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Ningelikuwa ni miye mbona ningezitumbua mpk chuo wangentambua ..ingekuwa a vivid example ya from rags to riches.!
   
 18. Mr Suggestion

  Mr Suggestion JF-Expert Member

  #18
  Dec 21, 2011
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 60
  No mkuu mwanzo ilitokea kwa hiyo 27m, nikaifuatilia kwa takriban wiki moja, na sasa imetokea kwa hiyo 15M. Je ni kwanini makosa kama hayo yafenyike kwenye akaunti hiyo hiyo, kwanini asitumie akaunti yangu binafsi
   
 19. Mr Suggestion

  Mr Suggestion JF-Expert Member

  #19
  Dec 21, 2011
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 60
  kaka nami nafikiria hivyo lakini jua kwamba particular zetu zipo pale benki so sioni hiyo kimya kimya itakuwaje na mambo ya security system ya benki itakuwaje?
   
 20. Mr Suggestion

  Mr Suggestion JF-Expert Member

  #20
  Dec 21, 2011
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 60
  Thanks mkuu nitaufanyia kazi ushauri wako
   
Loading...