Msaada wa kisheria wana JF | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa kisheria wana JF

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by nachid, Dec 26, 2011.

 1. nachid

  nachid JF-Expert Member

  #1
  Dec 26, 2011
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 898
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  Naenda moja kwa moja kwenye mada, mama yangu ana tuhuma za udanganyifu wa mtihani huu wa primary, yeye anadai hakukuwa na kitu chochote alichofanya ndani ya chumba cha mtihani. Sasa tatizo mkuu wao amedai atawapeleka mahakani, je kwa hili adhabu gani inaweza kutolewa? je nikimtafutia mwanasheria ushindi wa kesi unawezekana? Naomba msaada wandugu maana ameshindwa hata kusheherekea chrismas vema. ASANTE
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Dec 26, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Mama yako anasoma shule ya msingi?

  Mkuu wao kakusanya ushahidi gani
   
 3. nachid

  nachid JF-Expert Member

  #3
  Dec 26, 2011
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 898
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  ni mwalimu wa primary na ushahidi uliopo wameambiwa majibu ya watoto yamefanana isivyo kawaida
   
 4. nachid

  nachid JF-Expert Member

  #4
  Dec 27, 2011
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 898
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  Wadau vipi?
   
 5. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #5
  Dec 27, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,506
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Katika historia ya baraza la mitihani tz sijawahi kusikia mtu kapelekwa mahakamani kwa kosa hilo. Huyo mkuu ana hila tu! Muambie mama amuambie ampeleke mahakamani tu watamalizana huko. Hukumu haitolewi siku moja, akitajiwa kesi hapo ndo ufikirie cha kufanya. Ma-bush lawyer tupo tutakushauri,lol! Muambie mama ale pilao, maisha yenyewe mafupi!
   
 6. nachid

  nachid JF-Expert Member

  #6
  Dec 27, 2011
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 898
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  nashukuru kwa ushauri mzuri
   
 7. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #7
  Dec 27, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Unless ithibitike kuwa huo mwandiko uliofanana kwenye karatasi za majibu ni wa huyo mama yako, sidhani kama ana kosa lolote.
   
Loading...