Natafuta kitabu cha logic (argumentation skills) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta kitabu cha logic (argumentation skills)

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Mbushuu, Dec 26, 2011.

 1. Mbushuu

  Mbushuu JF-Expert Member

  #1
  Dec 26, 2011
  Joined: Aug 3, 2011
  Messages: 762
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 80
  Habar wanajf espcially wadau wa jukwaa hili la sheria.Me naomba msaada wenu mnitajie kitabu kizur cha logic ambacho ntaweza kukitumia katka kozi yangu ya sheria,naomba msaada wenu tafadhali!
   
 2. shizukan

  shizukan JF-Expert Member

  #2
  Dec 26, 2011
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 1,159
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Ungekuwa unataka kitabu cha hekima ningekushauri usome Bible, lkn wewe unataka cha kubishania mmmmh! Jaribu kwa prof wako
   
 3. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #3
  Dec 26, 2011
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,729
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  Mzee, unataka kujifunza fallacies na sylogisms? Hongera sana. Waone wasomi wa Philosophy: kule Peramiho, Kibosho na Ntungamo seminaries hawakosi vitabu vya Logic, Epistemology, nk. Good luck!
   
Loading...