Anne makinda na HATI ZA KIMILA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Anne makinda na HATI ZA KIMILA

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by mkomatembo, Dec 27, 2011.

 1. mkomatembo

  mkomatembo JF-Expert Member

  #1
  Dec 27, 2011
  Joined: Dec 17, 2011
  Messages: 1,466
  Likes Received: 502
  Trophy Points: 280
  Salaam wana jamvi,

  Leo kuna gazeti moja nimesoma kuwa anne makinda amekabidhi hati MILIKI ZA ARDHI za KIMILA , katika moja ya mikoa, naomba kama kuna mtu anajua hii sheria atudadavulie maana nimestushwa kuwa kuna hii sheria lakini watu hatuijui, kilichonivutia sana ni kwamba hati hizo pia zinaweza kukopewa benki ! Naomba ufafafuzi wana jamvi wenye kujua sheria

  Ahsante
   
Loading...