Haya yote yanachangia kuvunja utanzania... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Haya yote yanachangia kuvunja utanzania...

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by BABA JUICE, Dec 21, 2011.

 1. BABA JUICE

  BABA JUICE JF-Expert Member

  #1
  Dec 21, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 428
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  0.Serikali lelemama
  1.MAKAMPUNI YA SIMU(wananchi wanajiuliza serikali mipo wapi wakati wanaibiwa kila siku)
  2.MIGODI(Madini kama tanzanite ingetakiwa kuchimbwa na wazawa,watu wa nje wamedhaminiwa kuliko wazawa arusha imejengwa na tanzanite serikali yyt haiwezi leta maendeleo ila watu..sera nzuri za serikali huleta maendeleo)
  3.Wawekezaji(leo kampuni ya uturuki inaagiza makaa ya mawe na chakula kuoka china wakati kila kiyu kipo hapa)
  4.Viongozi wabinafsi serikalini
  5.Watoto wa vigogo
  6.Vyama vingi(kwa nchi kama yetu tungekuwa na vyama vinne tu...au ukitaka kuanzisha chama anzisha lakini hakuna ruzuku...
  7.kutokuwepo kwa ajira(serikali kama haiwezi kuajiri ingetengeneza mazingiza ya ajira(benki kutoa mikopo ya riba nafuu sio 44%)..kulikuwa na haja gani ya kusherekea miaka 50 ya uhuru kwa kutumia 64billion wakati karibu watanzania laki shahada ya chuo kikuu hawana ajira rasmi.

  ongezea
   
 2. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #2
  Dec 21, 2011
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Hizo ni sababu au matokeo?
  Maana kuna kitu kinaweza kufanyika na hivyo vyote visiwepo.
  Hicho kitu kutofanyika ndio sababu sasa.
   
 3. BABA JUICE

  BABA JUICE JF-Expert Member

  #3
  Dec 21, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 428
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  utanzania hauji tu kama mafuriko ya dar..serikali inatakiwa kuhamasisha....usiulize serikali yako imekufanyia nini bali umeianyia nini serikali yako!huu msemo utakuwa unatumika tu pale serikali husika inaonyesha kama imeanya mengi kwa wananchi wake...the problem is our government behave like they are in office while they are in power....they dont know how to use their power....the only power they use is to appoint their mistress and friends who are not competent to the position they have been appointed.
   
Loading...