Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Nora Damian WACHUNGAJI wanne wa madhehebu ya Kanisa la Pentekoste ambao pia ni Wakurugenzi wa Taasisi ya Kuendesha na Kusimamia Mchezo wa Upatu (Deci) wamesema watajitetea kwa njia ya kiapo...
0 Reactions
0 Replies
883 Views
wana jf naomba mnifahamishe iyo parole ni ki2 gan hasa? kinahusika na nin hasa?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mbaroni kwa kuoa mtoto wa miaka minane na Grace Macha, Arusha MFANYABIASHARA wa jijini Arusha, Joseph...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau, Naomba nifafanulieni kuhusu Certified Copies...Kuna baadhi ya watangaza ajira/kazi hutaka certified copies..Hii ina maaana gani?? Ni original copy iliyopigwa muhuri wa chuo au muhuri ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanaforum kuna hii kitu inaniumziga kichwa kuhusu hawa ppf na nssf ni kwa nini wanashindwa kutoa mikopo kwa wanachama wake na badala yake wanakazi ya kutoa mikopo kwa serikali na wafanyabiashara...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
  • Redirect
Mimi nilikuwa na mwanamke naishi naye nimeishi naye kwa zaidi ya miaka minne sikuwahi kufunga naye ndoa wala sikumtolea mahali,nimezaa naye watoto wawili sasa tumehitilafiana naye akabeba kila...
0 Reactions
Replies
Views
Naomba kuuliza nasikia kila anayetumiwa pesa za kazi (mfano za doria, kueweka uzio wa moto,kukusanya maduhuri nk) lazima arudishe fungu (kwa wale wanaoidhinisha matumizi/kupanga matumizi) ndo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
THE TEMPEST IN A CREAM BOWL SURROUNDING AN ATTEMPTED ASSASSINATION OF DR ULIMBOKA; WHO IS ON THE CROSS By Kaunda Paul The eve and dawn of 27th June 2012 was tainted with fear, grief...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
LEGAL PAUCITY IN LULU’S CASE IN A FATMA A. KARUME’S ORACLE By Kaunda Paul In an article...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Je kama taifa huru..lenye kulinda na kufuata utawala wa sheria . Je sheria zinasemaje juu ya uwajibikaji wa serikali na watu binafsi pale zinapo tokea hajali na watu kuumizwa na hatimaye kufa? Je...
0 Reactions
0 Replies
990 Views
Mbunge wa Ludewa (CCM), Deo Filikunjombe, amependekeza Waziri wa Mambo ya Ndani na Naibu wake wawekwe gerezani kwa muda wa miezi sita ili wapate uzoefu wa hali ilivyo mbaya kwenye magereza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tafadhali wanasheria tunaomba msaada hapa. Kuna jambo limetokea kwa ngazi moja ya ajira serikali kuu. Awali ngazi hii ilikuwa ya kimadaraka zaidi hivyo MISHAHARA ilikuwa mikubwa kulinganisha na...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Msaada wenu wana JF,nina ndugu yangu amekamatwa Ijumaa 13/07/12 kosa ni kuwa ameokota simu ndani ya basi ambamo yeye hulala humo baada ya kazi saa 6 usiku,akampa mkewe mida ya mchana,mkewe...
0 Reactions
0 Replies
793 Views
Naulizia tu ,je ndani ya dini ya kikristo zimo sheria ,mfano sheria za kumhukumu mwizi endapo atakamatwa,sheria za mwanamke iwapo atazini au ataonekana sio bikira siku ya mwanzo ya kukutana na...
1 Reactions
45 Replies
6K Views
Naomba msaada wa haya maswali, Nataka kufungua duka la kuuza nyama ya mbwa. 1.Je inawezekana kupata leseni ya biashara 2.Na waTz wataichukuliaje hii biashara?maana naamini hii nyama si haramu.
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Kutokana na ujambazi na uuwaji wa madereva wa bodaboda unaotokea mara kwa mara hapa korogwe, madereva hao wameamua kusaka mtandao wa majambazi na kuua mmoja nakuendelea na kusaka wengine ambao pia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tunayo mihimili mitatu ya Dola ambayo ni Serikali, Bunge na Mahakama. Katika miaka ya karibuni kumekuwapo na mtindo ambapo mambo ambayo yanaonekana na watawala kuwa nyeti na kwamba yatahojiwa sana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Richard Bukos na Haruni Sanchawa Mkazi wa Bunda mkoani Mara, Elisha Makumbati anadaiwa kumfanyia ukatili wa kupindukia mkewe, Nasra Mohammed (38) kwa kumburuza na gari uvunguni, umbali wa mita 150...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
It is very sickening to see people in Jamii Forums who claim to be great thinkers debate on issue they have little or no knowledge with. It is very sickening to see people affecting Jamii Forums...
0 Reactions
20 Replies
14K Views
Marehemu Hekima Bakari. Marehemu Fikiri. Marehemu Banzi.Jeneza lenye mwili wa marehemu Banzi. Na Haruni Sanchawa UKWELI kamili kuhusu vifo vya watu sita waliokunywa gongo Kigogo Sambusa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…