Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Godfrey Sanga amehukumiwa kwenda jela kifungo cha miaka mitano baada ya mahakama kuthibitisha kuwa julai 7 alichinja mbwa wanne na kuwauza katika klabu ya pombe za kienyeji iitwayo...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Taarifa kutoka Mahakama kuu zinaonyesha kuwa kesi husika itatajwa tarehe 1/06/2012 baada ya kuandikwa katika magazeti ya Mwanahalisi na Uwazi.Mgogoro uliyojitokeza kwa wale ambao hawajui...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
habari ya kushangaza kidogo, watu 7 wafariki na wengine wapo hoi wamelazwa hospitalini kwa kunywa pombe haramu ya GONGO!, hiii gongo iliwekwa nini wakuu?, mavi au?
0 Reactions
18 Replies
2K Views
MKAZI mmoja wa kijiji cha Piyaya kilichopo wilayani Ngorongoro aliyefahamika kwa jina la Alaisieleke Korio (48) amefariki dunia baada ya kupigwa fimbo kichwani na mwenzake . Kamanda wa polisi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kamanda wa jeshi la polisi kanda maalumu ya Dar es salaam,Suleiman Kova ameonya juu ya maandamano yanayoratibiwa na jumuiya ya madaktari pamoja na yale ya baraza la kiislamu.Kamanda Kova ameamuru...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wana jamvi niko safarini kuelekea Mwanza lakini ninachokiona kwa matrafiki wetu kwanza ni usumbufu pili ni wizi au rushwa ya wazi. Tangu kutoka Arusha mpaka Babati tumeweza kusimamishwa zaidi ya...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Wakuu' salamu mbele siku zote. Nina jamaa yangu ni askari, na huwa anachukuliwa kwenda kusindikiza milipuko kwa ajili ya hawa wezi wanaoharibu mazingira yetu wakitafuta dhahabu sehem mbalimbali...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Court has fined a businesswoman Shs200,000 for threatening violence. Ms Diana Ngabire, who would have spent a month in jail if she had failed to pay the fine, was found guilty of sending text...
0 Reactions
0 Replies
899 Views
hlw wanajamii forum, naombeni mnijulishe vigezo vya kujiunga law school pls
0 Reactions
1 Replies
1K Views
"This I have not raped, but we agreed to have sex with him and that is why I acknowledge before this court that I did have sex with him." He said the accused. But living a court hearing that the...
0 Reactions
0 Replies
750 Views
Mkoa wa Tabora Mme na Mke wameuawa jana jioni baada ya kuvamia na watu wawili. Mbele ya watoto wao marehemu Khalid na mkewe wameua kwa kucharangwa charangwa na watu hao wasiojulikana. Na mpk...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Serikali imepata haueni baada ya Vyuo vikuu ; kuhihakikishia serikali mwishoni mwa mwezi huu itaondokana na tatizo la madktari wa INTERNSHIP 400 Waliogoma; Vyou hivyo ni muhimbili st john Bugando...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Jamani hivi hawa SUMATRA na chama cha walaji wanafanya kazi kweli? Ukipanda kwenye magari yanayojiita luxury hamna ulaxury wowote,mikanda hamna, AC hamna, mavioo ya madirisha yanapiga makelele...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ndugu wana jf, sina maneno mengi ya kuwachosheni isipokua naomba msaada kwa yeyote mwenye kuweza kunisaidia Standing Order ya vyuo vikuu hapa nchini anisaidie. Asanteni na natarajia msaada wenu.
0 Reactions
0 Replies
923 Views
Wakuu nimeweka hapa kwa wajuvi wa Sheria ili tuweze kuangalia jambo hili, kwani MJL ameeleza kuwa Kupandishwa kwa Dr. Mkopi katika mahakama ya Kisutu ni makosa, soma maelezo hapo chini...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Usalama wa Raia (Polisi) VS usalama wa taifa (UWT) VS ulinzi na usalama (JWTZ) Soma visions and missions zao halafu jaribu kuanisha kazi zao. Ila vision na mission ya TISS nimeshindwa kuipata...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
jamani,memaliza LL.B apo UDSM 2012..nataka nijue ka ntakua eligble kujiunga na Law School mwaka huu,yaani after 12th &13 cohort -july intake...! Cuz naskia hawa majamaa hawataki PROVISIONAL...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ni yule mwalimu wa shule ya msingi digodigo wilaya ya Ngorongoro. Hakika sisi sote ni wa Mwenyezi Mungu na kwake tutarejea. Na yule muuaji hajakamatwa mpaka sasa.
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Wadau, kwa heshima na taadhima naomba msaada wenu. Nimekabidhiwa hii ofisi ya serikali kuifungua. Haina muhuri hata mmoja! nimewaomba 'wakubwa' lakini inaonyesha sitapata hivi karibuni. Kwa kuwa...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Habari nilizo nazo toka kwa chanzo kinachoaminika (mmoja wa madaktari) amesema kuwa kiongozi wa MAT (siyo Jumuiya ya Madaktari), Dr. Namala Mkopi anahojiwa muda huu hapo Central Police...
1 Reactions
34 Replies
4K Views
Back
Top Bottom