Parole parole

Mpigamsuli

JF-Expert Member
May 24, 2012
3,885
575
wana jf naomba mnifahamishe iyo parole ni ki2 gan hasa? kinahusika na nin hasa?
 
Kwa ninavyoelewa ni kifungo cha nje anachopewa mfungwa anaekaribia kumaliza kifungo chake cha ndani na hupewa hiyo parole iwapo atakuwa ameprove kubadilika tabia na katika kipindi hicho cha parole atakuwa chini ya uangalizi.
 
uyu mpiga msuli ,too much! Ana kiwewe na chuo balaa..wacha papara mdogo wangu,
 
parole ni mbadala wa kifungo cha gerezani. kama alivotangulia kueleza mchangiaji wa kwanza, hii hutolewa kwa mfungwa fulani aieonesha kubadili tabia pale gerezani. baada ya kutolewa nje atatazamiwa kwa kipindi maalum. endapo ataonesha kusahihika basi ataachiwa huru. hii inasimamiwa na THE PAROLE BOARD. Aina hii ya kifungo* hutumika zaid nchini MAREKANI. inafanana sana na ile inaitwa PROBATION ambayo kwa TANZANIA inasimamiwa na sheria iitwayo THE PROBATION ACT.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom