Wateja na uhakika nitapata wazawa na wageni wakutoka bara la asia.kupata utapata lakini ulishafikilia wateja wako ni kina nani? na je utaliweka maeneo gani hilo bucha lako?
Wateja na uhakika nitapata wazawa na wageni wakutoka bara la asia.
Nafikiria kuweka kwenye shoping centre hapa dar labda badaye na nyanda za juu.
Nashukuru kwa mchango wako.
Nyama itachinjwa kihalali na nitafuata taratibu zote za afya...Godfrey Sanga amehukumiwa kwenda jela kifungo cha miaka mitano baada ya mahakama kuthibitisha kuwa julai 7 alichinja mbwa wanne na kuwauza katika klabu ya pombe za kienyeji iitwayo TUPENDANE,kijana huyo pia amekiri mbele ya mahakama hiyo ya mkoni njombe kuwa si mara ya kwanza kwake yeye kuuza nyama ya mbwa na mara nyingine huwa anachuna mizoga iliyokufa na kuanza kuichuna ngozi na pia kuuza nyama kilabuni hapo,
sosi:RFA
NB:kama hili limetokea njombe,basi tuwe makini na mahali popote,huyu jamaa hayupo peke yake,niliwah kuleta bandiko hapa kuwa kuna jamaa hapo magomeni alikamatwa kwa tabia ya kuuza kuku waliokufa
Wateja na uhakika nitapata wazawa na wageni wakutoka bara la asia.
Nafikiria kuweka kwenye shoping centre hapa dar labda badaye na nyanda za juu.
Nashukuru kwa mchango wako.
Nashukuru kwa ushauri wako nitaufanyia kazi.Pia tengeneza vipeperushi na kuwagawia katika maduka yao a sehemu zao NYINGI za biashara!!! Ukiweza kuanza moja kwa moja na HOME DELIVERY service utawapata wengi zaidi maana haitokuwa na ulazima wa kuja kwako kufuata MBOGA; WEWE UTAFIKISHA MBOGA KWA MLAJI MOJA KWA MOJA