Uwajibikaji. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uwajibikaji.

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by kajumula., Jul 19, 2012.

 1. k

  kajumula. Member

  #1
  Jul 19, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Je kama taifa huru..lenye kulinda na kufuata utawala wa sheria . Je sheria zinasemaje juu ya uwajibikaji wa serikali na watu binafsi pale zinapo tokea hajali na watu kuumizwa na hatimaye kufa? Je ulipaji wa bima na mafao sitahiki vinatekelezwa? Je manusura wanaweza kuishtaki serikali? Naomba uchanganuzi na msaada wa kisheria..
   
Loading...