nssf na ppf kukopesha wanachama | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nssf na ppf kukopesha wanachama

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by alan, Jul 19, 2012.

 1. a

  alan Member

  #1
  Jul 19, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanaforum kuna hii kitu inaniumziga kichwa kuhusu hawa ppf na nssf ni kwa nini wanashindwa kutoa mikopo kwa wanachama wake na badala yake wanakazi ya kutoa mikopo kwa serikali na wafanyabiashara wakubwa huku ikiwaacha wanachama wake wakiwa masikini.na wengi wao masikini ya mungu hawana sifa ya kupata mikopo kwenye mabenki.kwa mfn unakuta anamichango yake nssf au ppf nk ml 7 kwanini huyu mtu asiitumie hiyo pesa yake kama dhamani akaweza kupata mkopo kwny mfuko husika akafungua hata biashara ambayo itakuwa msaidia kuongeza kipato chake hapo ndiyo ile kauli ya tuna ya jenga maisha yako ya baadaye ita leta maana.maisha ya uzeeni yana jengwa ujanani.maana tunaona hao waliostafu jinsi wanavyo taabika
   
 2. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Tusaidia kuwaondoa Magamba 2015, halafu mambo yote yatakuwa sawa alan!!
   
 3. K

  Kowero Fredy Member

  #3
  Jul 19, 2012
  Joined: Apr 30, 2011
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  aisee kama ataweka pesa yake kama dhamana ya mkopo anaouitaji mimi na dhan huo sio mpkopo
   
 4. Captain22

  Captain22 JF-Expert Member

  #4
  Jul 19, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 618
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  sidhani kama ppf Arusha watapasta hiyo mikopo maana kuna huyo senior operations officer wa wakike sijui cheo yeye alipata kwa chupi maana anacho jua yeye ni lunga mbovu, chafu na majivuno, anaitwa WARDA. ndugu yangu Ruhasha ( Zonal Manager ) kama hujui anaye haribu PPF North Zone ni WARDA
   
 5. a

  alan Member

  #5
  Jul 20, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  michango yako ndiyo inakufanya uwemwanacha wa mfuko husika kwa maana hiyo wingi wa michango yako ndiyo itakufanya upate mkopo mkubwa mwenye mia akopeshwe mia mbili sasa pesa yetu wako na kazi ya kuwakopesha akima manji siye wenye pesa tunabaki tunalia njaa
   
 6. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #6
  Jul 20, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,200
  Likes Received: 3,810
  Trophy Points: 280
  Hii mifuko inawanyonya wateja wake. Is it possible for the upcoming katiba to address this!
   
Loading...