B benitoc Member Nov 16, 2010 48 15 Apr 3, 2016 #1 Habari zenu wanajamvi! Namtafuta mwanasheria mwenye uwezo wa kuandika patent kwa ajili ya huduma bunifu.
Habari zenu wanajamvi! Namtafuta mwanasheria mwenye uwezo wa kuandika patent kwa ajili ya huduma bunifu.
Ndechumia JF-Expert Member Jul 15, 2011 1,149 537 Apr 9, 2016 #2 Mtafute jamaa anaitwa dr. Eliamani Laltaika atakusaidia.....angalia hata kwenye fb unaweza pata no yake ya sim au email
Mtafute jamaa anaitwa dr. Eliamani Laltaika atakusaidia.....angalia hata kwenye fb unaweza pata no yake ya sim au email