Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,830
- 4,727
Habari wakuu,
Kama kichwa kinavyojieleza mwanangu yuko kidato cha kwanza sasa. Nilihisi ana mahusiano na jamaa mmoja mfanyakazi wa umma na nilifanya mawasiliano na mwalimu wa malezi ili amuulize vyema binti yangu kama kweli ana uhusiano.
Baada ya kubanwa na mwalimu alikiri na kuandika barua ya maelezo kukiri jambo hili. Nimeumia sana kusikia jamaa anamchukua mwanangu.
Swali langu ni je, naweza kumshtaki jamaa kazini kwake au mahakamani na nikashinda kesi? Maana mtoto hana ujauzito.
Msaada wa kisheria please.