Napenda kufahamu katika hili

mzama chumvini

JF-Expert Member
Mar 14, 2016
730
641
Sabakher Wanasheria;
Naomba Mnisaidie! Ikitokea Wazaz Wa Mama Yangu {babu na bibi Yangu} Wakafariki! Na Wakati Wa Ufuatiliaji Wa Mirathi Mama Yangu Nae Akafa! Je Katika Ule Mgao Wa Mama Kama Mtoto Na Mim Nitasimama Badala Yake Kisheria Na Kupatiwa Stahik Zake?
Nawasilisha
 
jibu lipo wazi ni haki yako kupata mirath hiyo rejea kwenye LAWS OF SUCCESSION utapata majibu
 
Back
Top Bottom