Rutorial k
JF-Expert Member
- Jun 8, 2014
- 951
- 843
Wakuu nawasalimu...
Ama baada ya salamu naomba msaada wa kisheria kuhusu hili.
Mimi ni msimamizi wa mirathi na taratibu zote zilifatwa mpaka nikateuliwa kuwa mrithi.Tatizo ni kwamba nyumba ninayosimamia kama urithi ina kesi iko mahakama kuu ambapo mama alikuwa anamdai aliyekuwa mme wake.
Mama alishinda kesi na huyo jamaa akakata rufaa.Sasa shida ni kwamba mpeleka rufaa haji mahakamani hii ni mara ya tatu haji na wala sijawahi kumuona mtu anatoa taarifa kuhusu yeye.
Nilipojaribu kutembelea katika nyumba tunayogombania nilikuta jamaa amehama muda mrefu.Kibaya zaidi kuna uharibifu mkubwa katika eneo hilo kwani maji yamesababisha mmomonyoko,choo kimebomoka na nyumba iko hatarini kudondoka.
Sasa nifanyeje ili kunusuru ile hali?