MNFUMAKOLE
JF-Expert Member
- Nov 14, 2014
- 1,769
- 2,392
Kuna shida kwenye nguzo inayoingiza umeme kwangu. nilienda kutoa taarifa tar 2/4/2016 hadi leo hawajaja! nimerudia kutoa taarifa jana na leo. lakini hadi sasa hawajaja! hapa kwangu nina mashine ya kutotoresha bila shaka mayai yatakuwa yameshaharibika. naweza kuwashitaki? msaada jamani.