Sio suti tu, ni suti nyeusi. Hiyo ni professional attire kama tu daktari avaavyo koti jeupe.Habari za mihangaiko wakuu.
Nina swali hapa ni kwanini wanasheria wanapokuwa mahakamani wavae suti, ni kisheria inatakiwa hivo ........... au mapendekezo ya mtu mwenyewe ????
naombeni majibu.
Unakuwa umekiuka maadili na ukikutana na jaji/hakimu ambaye ni strict aweza kukutoa kortiniInakuwaje kama hujavaa hiyo suti ???
T shert= T-shirtNapenda dressing ya watu walio soma engineering field mwendo wa jeans T shert Na safety boot
Kama hujavaa black and white especially in the court, In the eyes of law utakuwa huonekani.Inakuwaje kama hujavaa hiyo suti ???
great