Ushauri wa kisheria kuhusu kesi hii

pmuta

JF-Expert Member
May 9, 2016
787
600
Wadau msaada kutoka kwenu,

Kuna rafiki yangu alikua kwenye kampuni moja ambayo alikua akifanya kazi pamoja na raia wa kigeni. Anadai siku moja alifanyiwa fujo na raia mmoja wa Uingereza ikiwa ni kushushiwa matusi ya nguoni na kufungiwa ndani ya chumba chake kwa dakika kadhaa. Baada ya kufunguliwa alitaka kwenda kumfungulia kesi kituon lakini kwa siku hiyo ilishindikana kwani walimfungia access maana wanaishi camp hivyo hutumia kadi ili kutoka getini.

Kesho yake alibahatika kutoka baada ya kuwataarifu viongozi wa chama cha wafanyakazi kinachoitwa NUMET. Baada ya kufika kituoni akiwa na mashahidi wake ambapo nao walifungiwa baada ya kukutwa chumbani kwake ,siku hyo polis wakamchukua maelezo na wakadai mashahidi watatoa maelezo yao mahakamani kisha akapewa RB na kuondoka.

Baada ya yule mzungu kujua kamshitaki akamsimamisha kazi pamoja na wale walioenda kumtolea ushahidi. Baada ya kukaa mwezi mmoja na kuona hajaitwa mahakamani akarudi kituon kufuatilia akaambiwa na mkuu wa kituo pamoja na OCD kua hawawezi kupeleka faili hadi wapate maelezo ya mashahidi.

Akaleta mashahidi wake lakini cha kushangaza anadai baada ya kufika kituoni yule mkuu wa kituo aliwapiga mkwara sana mashahidi na kutishia kuwaweka ndani lakini hawakutetereka na wakachukuliwa maelezo. Baada ya hapo akaambiwa aende ila faili lake halitaweza kupelekwa mahakamani. Kilichofata kwa sababu yule mzungu yuko karibu sana na police, baada yakupata taarifa kuwa wamemtolea ushahidi wakaitwa wote kazini na wakafukuzwa kazi ambapo chama cha wafanyakazi tayar kimeishafungua kesi na imeanza kusikilizwa.

Ilibid aende Kwa RPC akamueleza full story bado RPC akamrudisha Kwa OCCID akamwambia asiporidhika na majobu basi ndo arudi kwake. Alikutana nae mwezi wa nne OCCID akadai hajawai kupokea hilo faili ila akamuahidi atalishugulikia haraka iwezekanavyo liende mahakamani na akampatia namba ya simu kwa mawasiliano. Alidai ndani ya siku 5 litakuwa limeenda mahakamani.

Baada ya hapo alianza kuwasiliana nae ikawa ni ahadi na baadae ikawa hata simu yake haipokelewi. Ilibidi amuandikie barua RPC na kum CC IGP na Waziri wa Mambo ya Ndani akiwa bado Mh.Kitwanga. Mwishon mwa mwez wa nne akajibiwa na IGP ikiwa ni copy ya barua alomtumia RPC akimtaka ampe majibu haraka iwezekanavyo ni jins gani anaijua kesi hiyo na ni jinsi gani ameishugulikia, mwisho akamtaka pia jamaa yangu awasiliane na RPC kupata majibu.

Jamaa alienda na ile barua Kwa RPC bahati mbaya akakuta yuko likizo. Kumpigia simu akaambiwa amuone RCO, akamuona na kumueleza A to Z. RCO akaipeleka ile copy kwa Staff officer ambaye ndo amekaimu u-RPC, wakamwambia apige simu baada ya siku 2. Baada ya siku 2 akampigia RCO ikawa naye ni ahadi tu. Baada ya wiki RCO ndo akampigia jamaa yangu na kumueleza faili limeletwa ila akakuta halina maelezo ya mtuhumiwa hivyo kawaamuru walirudishe. Akamuahidi wawasiliane baada ya siku 2.

Tokea hapo jamaa akipiga cha maajabu hata RCO nae anampa majibu ya kumlalamikia OCCID kuwa ameshindwa kurudisha faili kitu ambacho ni ajabu maana RCO ndo boss wa upelelezi mkoa lakini nae anamlalamikia mtu wa ngazi ya wilaya ambaye yuko chini yake kuwa ameshindwa kupelekwa faili. Juzi jamaa alivyompigia ndo wakamwabia awasiliane tena na IGP kwani fail limeshindwa kuletwa ofisin kwake ili kupelekwa mahakamani.

Kwa ujumla ameona kuna mazingira ya rushwa Kwa polisi kumlinda huyo raia wa kigeni juu ya jinai inayomkabili. Kampuni hiyo iko wilaya ya Tarime, kesi ilifungulikwa January kituo kidogo cha Nyamongo.

Msaada wenu, nini kifanyike huyo bwana afike mahakamani. Samahan Kwa maelezo mengi.
 
Samahani ndg. pmuta Hiyo yote ni one sided story (maelezo ya upande mmoja tu)
Usimtetee rafiki yako sana... wengi wanapenda kuchezea,kuiba na kuharibu kazi za watu !!! Wote tumefanya kazi na Raia wa kigeni, wao wapo makini ktk kazi !!
 
Usichoke kuwasumbua viongoz wa jui lakn pia tafuta wakili kes yako itakuwa safi sana.
 
Zamilun uko sawa mipia nimefanya na raia wa kigen wanchi mbalimbali lkn Kwa hili jamaa yangu kaonewa sana na si yeye tu wako weng wametendewa mabaya lakin wanaogopa kupoteza kaz wanaamua kukaa kmia ,na kuna mfanyakaz mwingine wk juz kagongesha Gar hla matus alopata ni balaa jamaa nae akuweza kuvumilia alivoenda kumripot kituon polis wakagoma kumfungulia kes ndokaenda Kwa mwanasheria wa serikal kuona atamsaidiaje,watanzania wananyanyaswa sana kwenye haya makampun sema hawasemi Kwa kuofia kufukuzwa binafs nshashuhudia Baba mzma KABISA anapigwa makof na muaustralia tena yank tu kisa jamaa kakosea kufungua Mashine,lakin jamaa alivoshauliwa aende polis alipotezea.
 
Kuusu wakili chama cha wafanyakaz tayar ndokinamtafta
 
Uzi huu ushapatiwa ufumbuzi, many thanks kwa wote walochangia.
 
daaa kweli njaa mbaya.. watu wanapigwa hadi makofi kaziniii

Zamilun uko sawa mipia nimefanya na raia wa kigen wanchi mbalimbali lkn Kwa hili jamaa yangu kaonewa sana na si yeye tu wako weng wametendewa mabaya lakin wanaogopa kupoteza kaz wanaamua kukaa kmia ,na kuna mfanyakaz mwingine wk juz kagongesha Gar hla matus alopata ni balaa jamaa nae akuweza kuvumilia alivoenda kumripot kituon polis wakagoma kumfungulia kes ndokaenda Kwa mwanasheria wa serikal kuona atamsaidiaje,watanzania wananyanyaswa sana kwenye haya makampun sema hawasemi Kwa kuofia kufukuzwa binafs nshashuhudia Baba mzma KABISA anapigwa makof na muaustralia tena yank tu kisa jamaa kakosea kufungua Mashine,lakin jamaa alivoshauliwa aende polis alipotezea.
 
Samahani ndg. pmuta Hiyo yote ni one sided story (maelezo ya upande mmoja tu)
Usimtetee rafiki yako sana... wengi wanapenda kuchezea,kuiba na kuharibu kazi za watu !!! Wote tumefanya kazi na Raia wa kigeni, wao wapo makini ktk kazi !!
hii haihitaji story ya upande wa pili, kwakuwa jamaa hajataka tutoe hukumu hapa kuhusu issue yake yeye anataka msaada afanyeje ili kesi yake ifike mahakamani, huko ndo watahitaji maelezo ya upande wa pili. mbona rahisi tu
 
Wadau msaada kutoka kwenu,

Kuna rafiki yangu alikua kwenye kampuni moja ambayo alikua akifanya kazi pamoja na raia wa kigeni. Anadai siku moja alifanyiwa fujo na raia mmoja wa Uingereza ikiwa ni kushushiwa matusi ya nguoni na kufungiwa ndani ya chumba chake kwa dakika kadhaa. Baada ya kufunguliwa alitaka kwenda kumfungulia kesi kituon lakini kwa siku hiyo ilishindikana kwani walimfungia access maana wanaishi camp hivyo hutumia kadi ili kutoka getini.

Kesho yake alibahatika kutoka baada ya kuwataarifu viongozi wa chama cha wafanyakazi kinachoitwa NUMET. Baada ya kufika kituoni akiwa na mashahidi wake ambapo nao walifungiwa baada ya kukutwa chumbani kwake ,siku hyo polis wakamchukua maelezo na wakadai mashahidi watatoa maelezo yao mahakamani kisha akapewa RB na kuondoka.

Baada ya yule mzungu kujua kamshitaki akamsimamisha kazi pamoja na wale walioenda kumtolea ushahidi. Baada ya kukaa mwezi mmoja na kuona hajaitwa mahakamani akarudi kituon kufuatilia akaambiwa na mkuu wa kituo pamoja na OCD kua hawawezi kupeleka faili hadi wapate maelezo ya mashahidi.

Akaleta mashahidi wake lakini cha kushangaza anadai baada ya kufika kituoni yule mkuu wa kituo aliwapiga mkwara sana mashahidi na kutishia kuwaweka ndani lakini hawakutetereka na wakachukuliwa maelezo. Baada ya hapo akaambiwa aende ila faili lake halitaweza kupelekwa mahakamani. Kilichofata kwa sababu yule mzungu yuko karibu sana na police, baada yakupata taarifa kuwa wamemtolea ushahidi wakaitwa wote kazini na wakafukuzwa kazi ambapo chama cha wafanyakazi tayar kimeishafungua kesi na imeanza kusikilizwa.

Ilibid aende Kwa RPC akamueleza full story bado RPC akamrudisha Kwa OCCID akamwambia asiporidhika na majobu basi ndo arudi kwake. Alikutana nae mwezi wa nne OCCID akadai hajawai kupokea hilo faili ila akamuahidi atalishugulikia haraka iwezekanavyo liende mahakamani na akampatia namba ya simu kwa mawasiliano. Alidai ndani ya siku 5 litakuwa limeenda mahakamani.

Baada ya hapo alianza kuwasiliana nae ikawa ni ahadi na baadae ikawa hata simu yake haipokelewi. Ilibidi amuandikie barua RPC na kum CC IGP na Waziri wa Mambo ya Ndani akiwa bado Mh.Kitwanga. Mwishon mwa mwez wa nne akajibiwa na IGP ikiwa ni copy ya barua alomtumia RPC akimtaka ampe majibu haraka iwezekanavyo ni jins gani anaijua kesi hiyo na ni jinsi gani ameishugulikia, mwisho akamtaka pia jamaa yangu awasiliane na RPC kupata majibu.

Jamaa alienda na ile barua Kwa RPC bahati mbaya akakuta yuko likizo. Kumpigia simu akaambiwa amuone RCO, akamuona na kumueleza A to Z. RCO akaipeleka ile copy kwa Staff officer ambaye ndo amekaimu u-RPC, wakamwambia apige simu baada ya siku 2. Baada ya siku 2 akampigia RCO ikawa naye ni ahadi tu. Baada ya wiki RCO ndo akampigia jamaa yangu na kumueleza faili limeletwa ila akakuta halina maelezo ya mtuhumiwa hivyo kawaamuru walirudishe. Akamuahidi wawasiliane baada ya siku 2.

Tokea hapo jamaa akipiga cha maajabu hata RCO nae anampa majibu ya kumlalamikia OCCID kuwa ameshindwa kurudisha faili kitu ambacho ni ajabu maana RCO ndo boss wa upelelezi mkoa lakini nae anamlalamikia mtu wa ngazi ya wilaya ambaye yuko chini yake kuwa ameshindwa kupelekwa faili. Juzi jamaa alivyompigia ndo wakamwabia awasiliane tena na IGP kwani fail limeshindwa kuletwa ofisin kwake ili kupelekwa mahakamani.

Kwa ujumla ameona kuna mazingira ya rushwa Kwa polisi kumlinda huyo raia wa kigeni juu ya jinai inayomkabili. Kampuni hiyo iko wilaya ya Tarime, kesi ilifungulikwa January kituo kidogo cha Nyamongo.

Msaada wenu, nini kifanyike huyo bwana afike mahakamani. Samahan Kwa maelezo mengi.
Pole sana Mlalamikaji. Peleka malalamiko yako kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani kwa anuani 9223 DSM na nakala kwa Inspekta Jenerali wa Polisi. Pale kuna kitengo cha kushughulikia Malalamiko kipo chini ya Katibu Mkuu. Utapata msaada was Haraka.
 
  • Thanks
Reactions: Dyf

Kwenye barua utaandika maelezo mafupi na kuambatanisha vielelezo vyote. Ukipeleka hayo malalamiko uni inbox kunitaaarifu.
 
Back
Top Bottom