Tatizo la passport

Jahface kotto

Member
Jun 3, 2016
26
8
Habari ! Naomba mnisaidie ndugu zangu ! Mi ni mwenyeji wa daresalaam nilikuja ulaya kwa kuzamia meli kutokea south africa nikiwa sina passport na mpaka sasa bado sina passport. Nimejaribu sana kulifuatilia swala hilo bila ya mafanikio je nifanyaje ili niweze kupata passport ? Nilifanya maombi huku ubalozini kwa mara ya kwanza kwa kutumia jina la kiburundi ambalo ndio nililoombea pass na ndio jina nnalotamburika huku kiserikali lkn bila mafanikio maombi yangu yalipopelekwa tz wakanikatalia kwa kusema kuwa hawaniamini km mm ni mtanzania lkn wakaniambia kuwa km mm ni mtanzania basi nifanye maombi mengine kw kutumia jina langu halisi . Nilipofanya hivyo lkn pia maombi yalipopelekwa tz nashagaa mpaka hivi sasa unakwenda mwaka na nusu sikupata passport yangu bado . Kama pesa ya kulipia form na pass nishawapa teyari huku ubalozini ,picha ,nikapiga fingerprint na wakanipa mpaka risit ya pass lkn bado tu ! Je ndugu zangu mnanishauri nifanye nn maana nipo kwenye matatizo makubwa sana ?
 
Nenda immigration waambie unataka wakudeport umechoka unataka rudi kwenu na hauna docs
Hapana mshikaji wangu bongo bado hijatuli . Nipo huku nnavitamburisho vya huku na kazi nafanya siwezi kurudi nyumbani kwa dizaini hiyo ! Mnaonaje km nikiifungulia tz mastaka kuhusu swala hilo ? Hoya mi nataka ushauri mzuri ndugu yangu sio kukatishana tamaa rafiki angu !
 
Ulienda ulaya ukijifanya mrundi na huko unajurikana kama mrundi pasipoti ya tanzania unsitaka ya nn?
Chukua ya burundi.
 
Back
Top Bottom